Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Copy or Edit. Tukutane Baadae
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_160042_Chrome.jpg
    123.7 KB · Views: 6
Hapana kiongozi hiyo ni Megapari, juzi nilitoa pesa nikaacha hiyo 1M bado pia sijapata option ya kutoa maana mobile transaction zime be suspended.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
huko mkuu wanawajibu vipi kwamaan naona hata 888 hakuna option za mobile payment na majibu yao kwa upande huu kuwa zitarud lkn hawajui muda maalum,huko vp!
 
Imebaki mechi moja ya Ac milan na Napoli GG, itatoa au nitembee na cash-out?

Watu wanaogopa odds kubwa ngumu kumeza kama hizi, nilishare juzi mkeka mwingine kama huu hapa hapa ila hakuna aliyefata.

 
Mkuu achana nao tuendelee kumpiga Kanji. Sasa hivi nakufata mkuu najikusanya nipate mtaji niwe nastake kilo kilo maana matreni ni kubahatisha sana.
 
Hii kazi ngumu wazee.
Nimeweka hela toka saa nane mchana, toka muda huo niko busy ni piga nikupige na mhindi live.

Cha kusikitisha mpaka muda huu nimebaki na hela yangu tu.

Hapa nina mpango tuingie kwenye matuta na mhindi mpaka nishinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…