ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nimeanza kupokea kipigo cha mapema kabisa [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko mkuu wanawajibu vipi kwamaan naona hata 888 hakuna option za mobile payment na majibu yao kwa upande huu kuwa zitarud lkn hawajui muda maalum,huko vp!Hapana kiongozi hiyo ni Megapari, juzi nilitoa pesa nikaacha hiyo 1M bado pia sijapata option ya kutoa maana mobile transaction zime be suspended.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Jana kanichania Real socidad,, Leo Ajax dahAJAX [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mkuu achana nao tuendelee kumpiga Kanji. Sasa hivi nakufata mkuu najikusanya nipate mtaji niwe nastake kilo kilo maana matreni ni kubahatisha sana.Mkuu Mbochong'a humu ndani kuna shida kubwa mno, inafikia kipindi hadi mtu unawaza hawa raia wanahitaji watu wa aina gani humu kundini? Ukituma mkeka ukawin shida, usipowin tatizo. Kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu, unashindwa kuelewa ni nini umewakosea watu.
Ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu. Haina haja ya kusumbuana na kugombana na watu. Alhamudulilah Mungu anajalia KANJI anapigika haswa.View attachment 2900035
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Tsg hata goli moja Leo hakuna
Dakika za jioni Sana pressure ilikuwa imeshapandaKatoa GG bhana