Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mikeka miwili ya mwisho niliyokuwa nimerebet mmoja kachana back topolo (over 1.5), mwingine anachana bayern win........

nilijua hawawezi kuruhusu wafungwe na kuachwa point 8....lakini wapi washebzi wanafungwa hawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu Bayern Imeuzwaaaaaaaa

Nitakuja kuiweka tena Kwenye Mkeka Wangu akili Ikiwakaa sawa
Kuna mwamba wa kuitwa Dayot Upamecano, game ya Champions League last week alilimwa umeme timu ikapoteza 1-0 kwa Lazio, leo tena dk.32 anaingia kutokea bench na Bayern wakiwa wanaongoza 1-0, dk 38 Bochum wanasawazisha, dk 39 anakula njano, dk 44 Bayern anapigwa chuma ya pili, dk 77 anacheza rafu kwenye penalty box anakula second yellow card then umeme anatoka, Bochum wanafunga goli la 3
Pale Bayern sasa hivi hawana timu, kocha mbovu na management mbovu lazima timu isukwe upya. Game ijayo nadhani atakua na Leipzig nyumbani anaweza kuchapwa tena. Poleni sana maafisa ubashiri.
 
Bayaniiiiiiiiiiiiiiiiii dahhhhh

Wale wa option ya Any team to score 3 or more goals in a row - NO

Benfica 5-0 vizela ..HT

Mamaeeeee
 
Namuona Tuchel Thomas akianza kufungasha vilago vyake mdogo mdogo. Bayern imepoteza mechi tatu in a row. Hii haina afya kwa kocha. Ajiandae kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…