Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Za jioooooniiiiiiiiiiFeyenoord ana nini? On target za kufa mtu, possession yuko vizuri, mpinzani ana red tangu dakika ya 30 first half. Daaah! Hii ni hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za jioooooniiiiiiiiiiFeyenoord ana nini? On target za kufa mtu, possession yuko vizuri, mpinzani ana red tangu dakika ya 30 first half. Daaah! Hii ni hatari.
Za jioooooniiiiiiiiii
booooooom 1, hongereni mlochezaodd 3.34[emoji120]View attachment 2907724
Boooom 2, hongereni mlocheza
Sedimentary uliweka huu....kuna kitu hakiko sawaHili treni lina hadi mechi ya tar 1/4
Niliweka aiseeeSedimentary uliweka huu....kuna kitu hakiko sawa
Game ya dinamo Zagreb ilikuwa over 1.5 au wamechange option hawa??Niliweka aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee wakuu leo nimeshangazwa sana japo ni kawaida kwenye mchezo wa mpira.
Kule Netherlands kwenye ligi ya Eredivisie kulikuwa na mechi kati ya Vitesse Arnmes na Fc Valendom. Niliomba magoli matatu kwa maana ya over 2.5
Ndani ya dakika sita za kipindi cha kwanza kila timu ilipata goli ikawa 1-1. Nikasema leo mkeka unatick mapemaaa.
Daaaah! Kilichotokea ni kwamba hawajafungana tena mpaka mpira unaisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanji ni konyo sana jamani. Inawezekana tunashindana na nguvu za giza hatujijui.
Kuna mwamba wa kuitwa Dayot Upamecano, game ya Champions League last week alilimwa umeme timu ikapoteza 1-0 kwa Lazio, leo tena dk.32 anaingia kutokea bench na Bayern wakiwa wanaongoza 1-0, dk 38 Bochum wanasawazisha, dk 39 anakula njano, dk 44 Bayern anapigwa chuma ya pili, dk 77 anacheza rafu kwenye penalty box anakula second yellow card then umeme anatoka, Bochum wanafunga goli la 3Wakuu Bayern Imeuzwaaaaaaaa
Nitakuja kuiweka tena Kwenye Mkeka Wangu akili Ikiwakaa sawa
Hahahahah Kanji hazoeleki wala hana urahisi.Bayaniiiiiiiiiiiiiiiiii dahhhhh
Wale wa option ya Any team to score 3 or more goals in a row - NO
Benfica 5-0 vizela ..HT
Mamaeeeee
Siku ukimbetia benfica unashangaa anapata magoli kwa mbinde..leo kafungulia kokiHahahahah Kanji hazoeleki wala hana urahisi.