Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

booooooom 1, hongereni mlocheza
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240218_212431.jpg
 
mikeka miwili ya mwisho niliyokuwa nimerebet mmoja kachana back topolo (over 1.5), mwingine anachana bayern win........

nilijua hawawezi kuruhusu wafungwe na kuachwa point 8....lakini wapi washebzi wanafungwa hawa
 
Aisee wakuu leo nimeshangazwa sana japo ni kawaida kwenye mchezo wa mpira.
Kule Netherlands kwenye ligi ya Eredivisie kulikuwa na mechi kati ya Vitesse Arnmes na Fc Valendom. Niliomba magoli matatu kwa maana ya over 2.5

Ndani ya dakika sita za kipindi cha kwanza kila timu ilipata goli ikawa 1-1. Nikasema leo mkeka unatick mapemaaa.

Daaaah! Kilichotokea ni kwamba hawajafungana tena mpaka mpira unaisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanji ni konyo sana jamani. Inawezekana tunashindana na nguvu za giza hatujijui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu Bayern Imeuzwaaaaaaaa

Nitakuja kuiweka tena Kwenye Mkeka Wangu akili Ikiwakaa sawa
Kuna mwamba wa kuitwa Dayot Upamecano, game ya Champions League last week alilimwa umeme timu ikapoteza 1-0 kwa Lazio, leo tena dk.32 anaingia kutokea bench na Bayern wakiwa wanaongoza 1-0, dk 38 Bochum wanasawazisha, dk 39 anakula njano, dk 44 Bayern anapigwa chuma ya pili, dk 77 anacheza rafu kwenye penalty box anakula second yellow card then umeme anatoka, Bochum wanafunga goli la 3
Pale Bayern sasa hivi hawana timu, kocha mbovu na management mbovu lazima timu isukwe upya. Game ijayo nadhani atakua na Leipzig nyumbani anaweza kuchapwa tena. Poleni sana maafisa ubashiri.
 
Bayaniiiiiiiiiiiiiiiiii dahhhhh

Wale wa option ya Any team to score 3 or more goals in a row - NO

Benfica 5-0 vizela ..HT

Mamaeeeee
 
Namuona Tuchel Thomas akianza kufungasha vilago vyake mdogo mdogo. Bayern imepoteza mechi tatu in a row. Hii haina afya kwa kocha. Ajiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom