Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee, kama kuna wanaofata kale kaushauri ka kubetia mkeka mmoja mara mbili naamini angalau hawapotezi sana... Ukiona mmoja unadalili ya kufeli unacashout kurudisha mtaji wako na mwingine ni LIWALO na LIWE

View attachment 2909475
Bado haina maana, sababu ukipost hiyo ya pili ukapata 25 kama hiyo ya Kwanza manake Una lost ya 6000++
 
° Mechi ya mancity v brentford
Dakika ya 86-90 lisitokee goli odds 1.44 (1XBET)

Hii naruka nayo mazima. Halafu kuna ya pili hii hapa chini.

° Zipatikane goli 2 kuanzia dakika 1-60 odds 1.51
Somaga na terms and conditions kuna kampuni goli likifungwa 90+ bado unakuwa LOST hata dakika 90 ikipita....
 
Ina maana gan hii option ya any team to score 3 or more goals in row
Maana yake timu yeyote ifunge magoli 3 au zaidi mfululizo bila timu pinzani kufunga. Kazi yako ni kuchagua yes au no ila NO ni rahisi kutokea.

Ni vema kuwa specific kwa kuchagua timu fulani kuliko any team maana kuna muda maajabu yanatokeaga.

YES inakubaligi kwa timu zenye nguvu sana ikicheza na dhaifu ingawa pia hii ni betting, ina maajabu yake.
 
Bado haina maana, sababu ukipost hiyo ya pili ukapata 25 kama hiyo ya Kwanza manake Una lost ya 6000++
ishu ni kuwa active kucheki cashout na kuwa mwepesi wa kufanya maamuzi, kuna muda nilipewa offer ya kucashout 148,000 kwa kila mkeka ila nikapuuzia! Lakini cashout ikaja kushuka nikaona bora niokoe 25k. Nimecashout tu, kwenye dakika za nyongeza game ikatiki kwahiyo ule uliobaki ukanipa 380k... Kiufupi hii njia imenisaidia mno kuokoa pesa zangu, yani sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…