Vipi kuhusu prepaid card mkuuVISA Umeshawahi kutumia? nilikuwa natumia zamani BANCABC baadaye ikaanza kugoma.
Mkuu mbona hujashusha zile mbinu za kivita?Vipi kuhusu prepaid card mkuu
UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA AL AHLY TAREHE 01/3/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ukiwa ktk nyota N'ge
HALI ZA TIMU KINYOTA
Yanga na Al Ahly ni timu zenye nyota ya Punda,
Kikosi Cha Yanga Kwa siku hii kipo vizuri na wachezaji Kwa kiasi kikubwa kinyota wapo vema
Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale na yule wa Al Ahly ana nyota ya N'ge
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo utakuwa mgumu na Tutashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
Nimewahi kutumia VISA ya BANCABC na Mastercard ya EXIM BANK tu.Vipi kuhusu prepaid card mkuu
House always wins...hizo games zipo rigged na bongo hakuna regulations za kutosha kwenye hizi casino gamesbookies wana crash games za kindege kwa uchache. kuna site maalum ya Kibongo kwa ajili vindege. ina vindege karibia vyote vya kila aina.
inaitwa slotpesa.co.tz.
mnaocheza vindege vya kwenye hiyo site, tuambieni uaminifu wa hiyo kampuni.View attachment 2921579
Ndio maana nahangaika na mambo ya visa mkuu, nikija na nondo nataka niwape full notes yaan asifeli mtuMkuu mbona hujashusha zile mbinu za kivita?
Asante kwa mchango mkuuNimewahi kutumia VISA ya BANCABC na Mastercard ya EXIM BANK tu.
Mwaga nondo tuanze upembuzi yakinifu. Au loophole umeona kwa kampuni za nje?Ndio maana nahangaika na mambo ya visa mkuu, nikija na nondo nataka niwape full notes yaan asifeli mtu
Nimewahi kutumia na VISA ya KCB Bank nilisahau. Ila hiyo kama una njaa haifai, ukiwithdraw pesa inakufikia ndani ya siku 14 za kazi.Asante kwa mchango mkuu
Hmna basket leoWajuzi wa basketball, nisaidieni odd za uhakika basi! Iki_hit tutagawana tip
Zipo kibao mzee nba na NCAAHmna basket leo
hujachelewaBora ningejifunza kuvuta bangi aisee kuliko kubet