Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA AL AHLY TAREHE 01/3/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ukiwa ktk nyota N'ge

HALI ZA TIMU KINYOTA

Yanga na Al Ahly ni timu zenye nyota ya Punda,

Kikosi Cha Yanga Kwa siku hii kipo vizuri na wachezaji Kwa kiasi kikubwa kinyota wapo vema

Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale na yule wa Al Ahly ana nyota ya N'ge

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo utakuwa mgumu na Tutashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
Screenshot_20240301-205824.jpg

Kama nilivyo tabiri ndio imekua🙏🏽
 
bookies wana crash games za kindege kwa uchache. kuna site maalum ya Kibongo kwa ajili vindege. ina vindege karibia vyote vya kila aina.

inaitwa slotpesa.co.tz.

mnaocheza vindege vya kwenye hiyo site, tuambieni uaminifu wa hiyo kampuni.View attachment 2921579
House always wins...hizo games zipo rigged na bongo hakuna regulations za kutosha kwenye hizi casino games
 
Freiburg v Munchen

Total corners 8.5 over

Odds 1.54

Sevilla v Sociedad

Total Corners 8.5 over

Odds 1.63

Torino v Fiorentina

Total Corners 7.5 over

Odds 1.50
 
Back
Top Bottom