Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna yeyote amewahi kumfuatilia huyu mwamba pale telegram anaitwa OLYM BET PRO??? Huyu ndiye mwamba wa Fixed game,, ningekuwa na visa/mastercard hakika ningekuwa mbali sana. Jamaa hana mambo mengi na wala haitaji hela ya mtu
Si uende NMB TU ukafungue acount sh 15000 unaondoka na credit card
 
Tatizo la huyo jamaa amekuja kwa kutukana wote, uzi wa ma-broke waomba buku.

Hii ni kashfa kwa wakamaria wote humu jukwani, hatutaki watu wa namna hii heshima itawale.

Na wewe badala ukemee hili jambo unakuja kinafki eti vita ya waomba buku na waombwaji imeanza.

Mbona sisi tunaombwa hizo pesa sana, kama unayo saidia kama hauna kausha sio kuja kutukana watu huku ndani kwa ujumla.
 
🤣🤣🤣🤣

Tuweni wakweli

Hakuna Dhambi kuuubwa kama Kumpa Mtu pesa Ili abet.

Yaani kama inafika mtu anaomba pesa Ili Abet,jiulize hivi future yake ipoje? Watu wenye Kazi na Biashara tu wanafilisika kwa kuendekeza KAMARI,je ambae Kazi yake ni ya kuungaunga si ndio balaaa.

Acheni hizo mazeeeee, betting au KAMARI sio ajira,ukiona huna pesa fanyakazi upate pesa sio kutengeneza uombe mtu au ndugu.

Ikifika stage ya kuomba basi stage ya kwanza kupitia ni kuuza vitu, utakuta huyo mtu uza uza.

KAMARI ilivyombaya,we kila Siku ya weekend unaona Pesa nje nje,hapo unakuwa kama unawazim vile,teeeja kwisha Kazi.

Ufupi Acheni kuomba,ndio maana wengine wameona wasiombe humu,yaani wameona wawe MATAPELI,mara watabiri wa Nyota,mara sure odds,na Ushuzi mwingine ilimradi wawapige watu,but ujinga wao ni wa kizamani

Usiendekeze KAMARI utadhalilika wewe na Kizazi chako au familia yako.
Huna pesa acha,kama una vyanzo vya pesa Tenga simple and Minor budget for Betting ila usikae na ndoto ya kuwa Millionaire,utapotea mazima

Umri unaenda huo

Nakuja na Odds kama kiburudisho
 
Mimi nina PM kama 3 watu wa humu humu wananiomba ela ya kula hata elfu 5, kama uwezo upo wewe saidia ila kama huwezi kaa kimya sio kuzalilisha watu.

Wanaume wanapitia changamoto kubwa sana katika utafutaji, tuwe na roho za kupendana na kusaidiana kama wanaigeria usione sifa kuwacheka wanaume wenzako na kutoa kashfa.
 
ahahah si ndio sasa

Umemaliza kila kitu
 
Wakuu nina open bets 30[emoji16][emoji16]
Ntakua naleta mrejesho maendeleo yake.
Wale wazee wa kuomba bukubuku nikishinda hata mkeka mmoja tutagawana umaskini hata kwa watu kumi.
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA SIMBA NA JWANENG GALAXY TAREHE 02/3/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ukiwa ktk nyota ya n'ge.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba ni Mizani kinyota na Jwaneng ni Mbuzi kinyota, hapa tunaona nyota ya Mbuzi itakuwa na msaada wa jua na sayari ya mercury ilhali nyota ya Mizani ikiwa na msaada wa mwezi, sayari ya Venus na mars, Kwa mantiki hiyo nyota ya hii ya Mizani itakuwa na bahati pia nguvu chanya ya ushindani.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha mkuu wa Simba nyota yake ni Mshale, siku hii nyota yake itakuwa na usaidizi wa mwezi, sayari ya Venus na mars kwahiyo tunamuona Kocha aking'ara Sana,
Upande wa Jwaneng, Kocha wake ana nyota ya Mbuzi, siku hii tunaona nyota hii ikipata usaidizi wa jua pamoja na sayari ya mercury hii itampatia bahati na nguvu ya kupambana.

MATOKEO YA MCHEZO

Kulingana na mipangilio ya sayari Kwa nyota za timu hizi, vilevile Kwa walimu, MCHEZO utakuwa mgumu Hivyo tunaona dalili ya Sare kama option ya kwanza, option ya pili tunaona jumla ya magoli matatu Kwa timu zote mbili ikiwa na maana: SIMBA 2 na JWANENG 1.
 

Narejea Mdau

Mie nimepitia changamoto nyingi mnoooo

Humu hakuna ane omba hela ya kula huku,au labda ni wewe mwenyewe unatumia accounts nyingi humu.JF zikifika kumi una Buku kumi

Maana unatetea vitu vya hovyo kabisa.

Humu pesa unayoombwa ni ya Chakula cha mcheza KAMARI yaani kubetia,sasa usione unaombwa hela ya kula unafikiria mtu anataka ya kula ni ya kucheza KAMARI

Wewe unaomba Buku huku kila siku upo online, sasa huu sikutaka ulelewe na Wanaume wenzio?

Watu wanaomba Kazi na Michongo ya Biashara sio pesa.
Sasa Asha Ngedere aombe pesa na wewe Mwanaume Badala ya kuomba Kazi unaomba Pesa.

Kama ubamikiki Sim ya laki Moja tu,basi unamtaji tayari,shida vijana wa sasa mnataka mchekea,mie Nina age 35 ila nimefanya sana Biashara ya kuuza Karanga,yaani hawa unaowaona wanauza Karanga mtaani na Mahindi,aisee huwezi kukuta wanalialia kimama hivyo,watalia kwa shida nyingine,na pia ukiwa kwenye mfumo basi ni Rahisi kusaidiwa na ulionao kwenye Biashara.

Narejea,kama umefungua account zaidi ya Moja humu JF kuomba pesa,Buku Buku hizi aisee Biashara nzuri sana, accounts 10 kw siku Buku kumi,mwezi laki 3.

Humu ukiombwa pesa ni ya kudet tuuuuuuuuu hakuna ya pesa ya Kula.

Unaomba Pesa humu,then upo online on daily status na unamiliki smart phone? Unalia njaa Mtoto wa Kiume ? Huku wenzio wapo Day worker wanapandisha Tofali saidia Fundi?

Tuache hii Mada

Leteniiii Codesssssssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…