Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uende NMB TU ukafungue acount sh 15000 unaondoka na credit cardWakuu kuna yeyote amewahi kumfuatilia huyu mwamba pale telegram anaitwa OLYM BET PRO??? Huyu ndiye mwamba wa Fixed game,, ningekuwa na visa/mastercard hakika ningekuwa mbali sana. Jamaa hana mambo mengi na wala haitaji hela ya mtu
Mkuu weka ya Leo kama umeshaandaa codeHapo sasa
Tatizo la huyo jamaa amekuja kwa kutukana wote, uzi wa ma-broke waomba buku.Naona vita ya waomba buku na waombwaji imeanza.
Kuomba sio kitu kibaya ila huwezi kumparamia mtu ambaye hamjuani ukamwomba, mtu wa karibu ndio solution namba 1.
Kingine mtu akikuomba kama hauna unasema tu hauna, kama unayo na hautaki kumpa unanyamaza tu. Ukimkashifu anajisikia vibaya hasa wakikumbuka wana vyeti kabatini tena walikuwa mawaziri huko walikopata vyeti, huku wanajaribu kutafuta bahati tu.
Kuna vijana wanaishi kwa kutegemea betting kitu ambacho sio sahihi. Ni vema ukawa na kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo kwa siku halafu ukawa unatengeneza matreni yako ya 100 huko betpawa.
Mimi nina PM kama 3 watu wa humu humu wananiomba ela ya kula hata elfu 5, kama uwezo upo wewe saidia ila kama huwezi kaa kimya sio kuzalilisha watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuweni wakweli
Hakuna Dhambi kuuubwa kama Kumpa Mtu pesa Ili abet.
Yaani kama inafika mtu anaomba pesa Ili Abet,jiulize hivi future yake ipoje? Watu wenye Kazi na Biashara tu wanafilisika kwa kuendekeza KAMARI,je ambae Kazi yake ni ya kuungaunga si ndio balaaa.
Acheni hizo mazeeeee, betting au KAMARI sio ajira,ukiona huna pesa fanyakazi upate pesa sio kutengeneza uombe mtu au ndugu.
Ikifika stage ya kuomba basi stage ya kwanza kupitia ni kuuza vitu, utakuta huyo mtu uza uza.
KAMARI ilivyombaya,we kila Siku ya weekend unaona Pesa nje nje,hapo unakuwa kama unawazim vile,teeeja kwisha Kazi.
Ufupi Acheni kuomba,ndio maana wengine wameona wasiombe humu,yaani wameona wawe MATAPELI,mara watabiri wa Nyota,mara sure odds,na Ushuzi mwingine ilimradi wawapige watu,but ujinga wao ni wa kizamani
Usiendekeze KAMARI utadhalilika wewe na Kizazi chako au familia yako.
Huna pesa acha,kama una vyanzo vya pesa Tenga simple and Minor budget for Betting ila usikae na ndoto ya kuwa Millionaire,utapotea mazima
Umri unaenda huo
Nakuja na Odds kama kiburudisho
ahahah si ndio sasaNaona vita ya waomba buku na waombwaji imeanza.
Kuomba sio kitu kibaya ila huwezi kumparamia mtu ambaye hamjuani ukamwomba, mtu wa karibu ndio solution namba 1.
Kingine mtu akikuomba kama hauna unasema tu hauna, kama unayo na hautaki kumpa unanyamaza tu. Ukimkashifu anajisikia vibaya hasa wakikumbuka wana vyeti kabatini tena walikuwa mawaziri huko walikopata vyeti, huku wanajaribu kutafuta bahati tu.
Kuna vijana wanaishi kwa kutegemea betting kitu ambacho sio sahihi. Ni vema ukawa na kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo kwa siku halafu ukawa unatengeneza matreni yako ya 100 huko betpawa.
Leta codeFreiburg v Munchen
Total corners 8.5 over
Odds 1.54
Sevilla v Sociedad
Total Corners 8.5 over
Odds 1.63
Torino v Fiorentina
Total Corners 7.5 over
Odds 1.50
Mimi nina PM kama 3 watu wa humu humu wananiomba ela ya kula hata elfu 5, kama uwezo upo wewe saidia ila kama huwezi kaa kimya sio kuzalilisha watu.
Wanaume wanapitia changamoto kubwa sana katika utafutaji, tuwe na roho za kupendana na kusaidiana kama wanaigeria usione sifa kuwacheka wanaume wenzako na kutoa kashfa.