Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazoefu wa 1xbet naomba mnisaidie namna ya kuwithdraw tafadhali
 
Ndo kwanza tarehe 03,,, alafu mshahara keshaugawa nusu kwa mhindi,,, Bado wadogo zake shule, mchepuko saluni na nanihii alafu mmmh🀣🀣🀣
Yaani hapo ndio unapoona mwezi unakuwa mrefuuuu

KAMARI ni mchezo wa hatari mnooo tena mnoo kwa anaeundekeza,halafu pesa ikikaribia kwisha eti unajikuta unatick meja mmoja unajipa Moyo baada ya hapo ni kilio cha Lowasa na Kolabo la Mwinyi

Yaani especially sasa hivi,kila Maisha yakizidi kuwa magum ndio maskini wanazidi kucheza KAMARI 🀣🀣🀣 na mandoto makubwaaaa,yaani watu Usingizi wanalala Nusu Nusu,nyumba za Ibada zimepungua waumini kwa Kasi mnoo.

Acha safari iendeleee

Na hawa wa mchongo ndio wanaoongeza mzuka🀣🀣🀣

 
Kwanini unaumia moyo na mambo yasiyokuhusu? mwenye mikeka aliyeliwa amekaa kimya hajalalamika popote kwamba amepoteza pesa nyingi, ila wewe amina magambaa umeanza kuporomosha maneno na huyo shoga ako mwingine

Acheni tabia za kike, hakuna mtu anahitaji ushauri wako wewe kapuku, ukiona mtu anaweka stake ya laki ujue ana back-up ya kutosha, na akipoteza leo doesn't mean kesho atapoteza tena, biashara ndivyo ilivyo huwezi kula kila siku

Mtoto wa kiume unaanza kumchamba mwanaume mwenzako kwa matumizi ya ela zake si uchoko huu.

Wanaume tuna asili ya kusaidiana, kushauriana na kupeana moyo sio kuleta mambo ya kike huku ndani.

Be a man!
 
Premier bet AVIATOR
kwanza
Weka automatic cash out 2.0, kisha subiri system ikae hivi;
1.1x 2.3x 1.23x 2.88x 1.44x _ (inayofuata inaanzia odds 2+ piga hela hapo hapo!)

NB: sio lazima odd ziwe kama nilivyozipanga mimi hapo, ndogo isizide 1.9 na kubwa isizidi 8 (0.1x-1.9x, 2.1x-8x)
 
Nikiona odds kuanzia 100 kushuka chini kidogo zina kausalama kwa mbali,,,, tatizo ni odds 100+ Hadi 1000+ hapo mmh
Hizo 1000 kwenda juu ndiyo tamu mimi napenda odds kuanzia elfu 6000 hivi sema muda wa kuzifsnyia mkakati wa kusuka mikeka mingi sina
Mimi siogopi odds nyingi ninacho ogopa ni mechi nyingi zaidi ya 20 kwenye mkeka mfano mkeka wa mechi 50 ni bora nitengeneze wa mechi 14 wenye odds 6000 kuliko mkeka wa mechi 50 tusiogope odds kuliko idadi ya mechi kwenye mkeka
 
Kaka hizo mbinu Baki nazo tu
Hakuna kitu hakijafanyika katika mpambano na Kanji huku,mwishowe watu wanasanda wwnyewe.
Watu walikuja na mpango wa odd 1.1 lakini bado kanji anapita nazo.
Betting ni bahati tu na asilimia kubwa hizo bahati hatuna!!
hahaha hata bahati lazima uipambanie kwa mbinu za kila namna haiji tu hivi hivi!
 
Utaolewa Mjini hapa
Mtu mwenyewe unaitwa"Mimi Kistobe" 🀣🀣🀣🀣,aiseee wale wa over 30 years of age,hilo Jina wanajua Kistobe ni nini,zamani unajazia Kistobe nipake Mafuta?au Kistobe nibane

Hi post yangu nimekutag wewe au unatufa BWANA
Yaani wee Zuzu kweli,nikupe moyo kwenye KAMARI 😳😳😳

We endelea kuamini KAMARI itakutoa umri huo 🀣🀣🀣🀣

Hembu pita Mbali napost Zangu,sojakuTag unless uwe a pure KISTOBE

Umesema hutaki USHAURI wangu,sasa nakusaidia nenda kwenye block,then hautaona post yangu.Simple like that,utajikera Bure tu

Hayaaa tunaendelea na Codes humu,huwa new comers hawa no sheeda tupu

Hembu weka Codes hii ULE au Uliwe then nije nikupe Moyo

So uweke 500 utegemee kupewa Moyo

Stake 10,000 hapo kisha tuliaaa

2DD78BE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…