2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Refaree kamaliza mpira Madrid Wana funga goli hii game 🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I feel it bruddahMadrid kazingua 😢😢View attachment 2922664
Hamna kituTomaso the San😁
Yaani hapo ndio unapoona mwezi unakuwa mrefuuuuNdo kwanza tarehe 03,,, alafu mshahara keshaugawa nusu kwa mhindi,,, Bado wadogo zake shule, mchepuko saluni na nanihii alafu mmmh🤣🤣🤣
Kwanini unaumia moyo na mambo yasiyokuhusu? mwenye mikeka aliyeliwa amekaa kimya hajalalamika popote kwamba amepoteza pesa nyingi, ila wewe amina magambaa umeanza kuporomosha maneno na huyo shoga ako mwingineYaani hapo ndio unapoona mwezi unakuwa mrefuuuu
KAMARI ni mchezo wa hatari mnooo tena mnoo kwa anaeundekeza,halafu pesa ikikaribia kwisha eti unajikuta unatick meja mmoja unajipa Moyo baada ya hapo ni kilio cha Lowasa na Kolabo la Mwinyi
Yaani especially sasa hivi,kila Maisha yakizidi kuwa magum ndio maskini wanazidi kucheza KAMARI [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mandoto makubwaaaa,yaani watu Usingizi wanalala Nusu Nusu,nyumba za Ibada zimepungua waumini kwa Kasi mnoo.
Acha safari iendeleee
Na hawa wa mchongo ndio wanaoongeza mzuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2922774
Hizo 1000 kwenda juu ndiyo tamu mimi napenda odds kuanzia elfu 6000 hivi sema muda wa kuzifsnyia mkakati wa kusuka mikeka mingi sinaNikiona odds kuanzia 100 kushuka chini kidogo zina kausalama kwa mbali,,,, tatizo ni odds 100+ Hadi 1000+ hapo mmh
Kaka hizo mbinu Baki nazo tuSoon nakuletea mbinu ya kupiga hela virtual sports
hahaha hata bahati lazima uipambanie kwa mbinu za kila namna haiji tu hivi hivi!Kaka hizo mbinu Baki nazo tu
Hakuna kitu hakijafanyika katika mpambano na Kanji huku,mwishowe watu wanasanda wwnyewe.
Watu walikuja na mpango wa odd 1.1 lakini bado kanji anapita nazo.
Betting ni bahati tu na asilimia kubwa hizo bahati hatuna!!
Utaolewa Mjini hapaKwanini unaumia moyo na mambo yasiyokuhusu? mwenye mikeka aliyeliwa amekaa kimya hajalalamika popote kwamba amepoteza pesa nyingi, ila wewe amina magambaa umeanza kuporomosha maneno na huyo shoga ako mwingine
Acheni tabia za kike, hakuna mtu anahitaji ushauri wako wewe kapuku, ukiona mtu anaweka stake ya laki ujue ana back-up ya kutosha, na akipoteza leo doesn't mean kesho atapoteza tena, biashara ndivyo ilivyo huwezi kula kila siku
Mtoto wa kiume unaanza kumchamba mwanaume mwenzako kwa matumizi ya ela zake si uchoko huu.
Wanaume tuna asili ya kusaidiana, kushauriana na kupeana moyo sio kuleta mambo ya kike huku ndani.
Be a man!
Kampuni gan
ndo nmeamka guys nililala na stress but hii noja nimekuta ilibooooooom, imenpunguzia hasira, hongera ka ulicheza