Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kijana mlenda mlenda sana wewe, swala la umbea umbea waachie dada zako.

Wewe ni hasara kwa mke na watoto wako, uandishi wako unadhihirisha ulichobeba kichwani.

Siwezi nikaku-ignore ntapambana na wewe mpaka mwisho na utakuja kunishukuru maana unakaribia kuhamia lile kundi la pili.

Mwanaume ana-lost kwa stake yake kubwa wewe roho inakuuma unamza kumchamba kweli?
 
Code za humu hatari sana, afadhali lost itokee kwenye mkeka uliosuka mwenyewe kuliko code aliyokupa mtu
 
13U9T ---1Xbet code

Unaweza edit mi namtilia shaka YoungBoy
 

Attachments

  • Screenshot_20240303-152929.png
    76.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240303-152941.png
    74.8 KB · Views: 4
Kaka hizo mbinu Baki nazo tu
Hakuna kitu hakijafanyika katika mpambano na Kanji huku,mwishowe watu wanasanda wwnyewe.
Watu walikuja na mpango wa odd 1.1 lakini bado kanji anapita nazo.
Betting ni bahati tu na asilimia kubwa hizo bahati hatuna!!
Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…