Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utaolewa Mjini hapa
Mtu mwenyewe unaitwa"Mimi Kistobe" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],aiseee wale wa over 30 years of age,hilo Jina wanajua Kistobe ni nini,zamani unajazia Kistobe nipake Mafuta?au Kistobe nibane

Hi post yangu nimekutag wewe au unatufa BWANA
Yaani wee Zuzu kweli,nikupe moyo kwenye KAMARI [emoji15][emoji15][emoji15]

We endelea kuamini KAMARI itakutoa umri huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hembu pita Mbali napost Zangu,sojakuTag unless uwe a pure KISTOBE

Umesema hutaki USHAURI wangu,sasa nakusaidia nenda kwenye block,then hautaona post yangu.Simple like that,utajikera Bure tu

Hayaaa tunaendelea na Codes humu,huwa new comers hawa no sheeda tupu

Hembu weka Codes hii ULE au Uliwe then nije nikupe Moyo

So uweke 500 utegemee kupewa Moyo

Stake 10,000 hapo kisha tuliaaa

2DD78BE
View attachment 2922893
Kijana mlenda mlenda sana wewe, swala la umbea umbea waachie dada zako.

Wewe ni hasara kwa mke na watoto wako, uandishi wako unadhihirisha ulichobeba kichwani.

Siwezi nikaku-ignore ntapambana na wewe mpaka mwisho na utakuja kunishukuru maana unakaribia kuhamia lile kundi la pili.

Mwanaume ana-lost kwa stake yake kubwa wewe roho inakuuma unamza kumchamba kweli?
 
Screenshot_20240303_130538_SportyBet.jpg
 
Code za humu hatari sana, afadhali lost itokee kwenye mkeka uliosuka mwenyewe kuliko code aliyokupa mtu
 
13U9T ---1Xbet code

Unaweza edit mi namtilia shaka YoungBoy
 

Attachments

  • Screenshot_20240303-152929.png
    Screenshot_20240303-152929.png
    76.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240303-152941.png
    Screenshot_20240303-152941.png
    74.8 KB · Views: 4
Kaka hizo mbinu Baki nazo tu
Hakuna kitu hakijafanyika katika mpambano na Kanji huku,mwishowe watu wanasanda wwnyewe.
Watu walikuja na mpango wa odd 1.1 lakini bado kanji anapita nazo.
Betting ni bahati tu na asilimia kubwa hizo bahati hatuna!!
Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maana
 
Back
Top Bottom