mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
DB71B77. Odds 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mlenda mlenda sana wewe, swala la umbea umbea waachie dada zako.Utaolewa Mjini hapa
Mtu mwenyewe unaitwa"Mimi Kistobe" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],aiseee wale wa over 30 years of age,hilo Jina wanajua Kistobe ni nini,zamani unajazia Kistobe nipake Mafuta?au Kistobe nibane
Hi post yangu nimekutag wewe au unatufa BWANA
Yaani wee Zuzu kweli,nikupe moyo kwenye KAMARI [emoji15][emoji15][emoji15]
We endelea kuamini KAMARI itakutoa umri huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hembu pita Mbali napost Zangu,sojakuTag unless uwe a pure KISTOBE
Umesema hutaki USHAURI wangu,sasa nakusaidia nenda kwenye block,then hautaona post yangu.Simple like that,utajikera Bure tu
Hayaaa tunaendelea na Codes humu,huwa new comers hawa no sheeda tupu
Hembu weka Codes hii ULE au Uliwe then nije nikupe Moyo
So uweke 500 utegemee kupewa Moyo
Stake 10,000 hapo kisha tuliaaa
2DD78BE
View attachment 2922893
Huu ulikaa kipesa pesa tu,,,, hongera sanando nmeamka guys nililala na stress but hii noja nimekuta ilibooooooom, imenpunguzia hasira, hongera ka ulichezaView attachment 2922933
😂😂😂😂😂Roho inakataa kabisaa kuachana na Uwekezaji katika sekta ya ubashiri wa mpira wa miguu 😂😂
Sema kabisa alichukua kanji wa kampuni gani? Kuna kampuni hela zao hazichukuliwi kirahisi.Wakuu Kanji ana hela zangu nyingi alichukua na anazo,Mimi zisitaki Tena
Mnaweza kuzichukua tu!!
Haya mkadeposit ili mzichukue hela hizo!!
Pole sana mkuu. Usikate tamaa nawe ipo siku utamnyoosha Kanji mpaka atanyoosheka.Leo nmeliwa mikeka mingi balaa[emoji29]
Mkuu sidhani Kama Kuna kampuni haijanibutua labda zilizoanza mwaka Jana na mwaka huuSema kabisa alichukua kanji wa kampuni gani? Kuna kampuni hela zao hazichukuliwi kirahisi.
hapa ni kijiweni.Tunatoka tunakuja hapa ni hom
ulimpa celtic?Leo bundi kalia mapema kabisa. Ngoja nikarenew.
View attachment 2923106
Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maanaKaka hizo mbinu Baki nazo tu
Hakuna kitu hakijafanyika katika mpambano na Kanji huku,mwishowe watu wanasanda wwnyewe.
Watu walikuja na mpango wa odd 1.1 lakini bado kanji anapita nazo.
Betting ni bahati tu na asilimia kubwa hizo bahati hatuna!!