Hio ndo maana halisi ya betting hauna uhakika wa 100%Mimi sio mtabiri ila najaribu kuwaza tu, hivi Rangers na ben-fica hawawezi kutoa GG2+
picha hazifunguki hii ni Nini?!Upooo wewe lipuka tu Singida hamna kitu mle
Wachezaji wenyewe wanaidai team
Jazia na hii
View attachment 2932660
We NGWENA acha KULIApicha hazifunguki hii ni Nini?!
Dah asante sana mkuuhuyu hapa:
Umeila Mzee hela yakeWakuu tusiache kubet, hela ya mhindi tamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23] inahitaji uvumilivu mkubwa sana kuila hela ya Kanji.Wakuu tusiache kubet, hela ya mhindi tamu sana
Jamaa sorry hii site inaitwaje maana kuna kipindi ishwahi nipa helaPole sana mkuu. Kamari ndivyo ilivyo. Huwezi kuamini alichonifanya PSG kwenye treni hili la timu 21 na ndiyo ilikuwa timu ya mwisho kucheza. Aliongoza magoli 2 kipindi cha kwanza nikawa na furaha ya kupiga 4.7k, nilipoamka asubuhi nikakuta TF 2-2. Iliniuma sana lakini nimeishapoa. Kamari ni mchezo wa kiqumer sana.
View attachment 2932554
View attachment 2932558
View attachment 2932564
Labda itoe mapepoHii game ya Al Hilal over 1.5 inatoa?
Angekuwa ameanza kufungwa yeye aisee zingemwagika Corners,hapa naona analinda ushindi wake tu otherwise Napoli achomoe hapo ndio Kazi inaanzaBarcelona hawapigi kona kabisa, nyau nyie
Zimeanza kufunguka,now half time Corners 3,not so bad and keep waiting for the second halfBarcelona hawapigi kona kabisa, nyau nyie