Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

picha hazifunguki hii ni Nini?!
We NGWENA acha KULIA

Hii hapa ya kuanzia Jioni

63097E5

Screenshot_20240312-184726.png
 
Pole sana mkuu. Kamari ndivyo ilivyo. Huwezi kuamini alichonifanya PSG kwenye treni hili la timu 21 na ndiyo ilikuwa timu ya mwisho kucheza. Aliongoza magoli 2 kipindi cha kwanza nikawa na furaha ya kupiga 4.7k, nilipoamka asubuhi nikakuta TF 2-2. Iliniuma sana lakini nimeishapoa. Kamari ni mchezo wa kiqumer sana.
View attachment 2932554
View attachment 2932558
View attachment 2932564
Jamaa sorry hii site inaitwaje maana kuna kipindi ishwahi nipa hela
 
Back
Top Bottom