Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
We ambaye ujakulupuka umenunua range kwa njia ya betting?[emoji23][emoji23] betting nimchezo wa kula na kuliwa na ukiliwa unaliwa kisawa sawa.Acha ushamba kupoteza ni kawaida kwenye betting inaonesha umekurupukia hii kazi
Jua aponyuma amechana mikeka 7000+ ndo kabaatusha 1, akuna uchawi jinsi unavyo weka mikeka mingi na ndo uwezekano wa kushindwa unakua mkubwa pia nandio unavyo pigwa mpaka utauza na kiwanja![emoji23][emoji12].Wakuu tuache masihara hivi wanaija inakuaje mtu ana boom draw match 10 si uchawi huu jana watu wamepiga hela Twitter huko
Yaani we kweli mshamba yaani unashaangaa kuliwa kwenye betting wakati ni Moja ya sharti la betting kuliwa lazimaWe ambaye ujakulupuka umenunua range kwa njia ya betting?[emoji23][emoji23] betting nimchezo wa kula na kuliwa na ukiliwa unaliwa kisawa sawa.
Usiamini sana kila unachokiona kwenye mitandao mkuuWakuu tuache masihara hivi wanaija inakuaje mtu ana boom draw match 10 si uchawi huu jana watu wamepiga hela Twitter huko
Mi nimeshinda huo mkeka wake jana sema nilicheza edit yake odds 120 draws zimetoa na original yake odds 2k zimetoa pia ila niliweka 400Usiamini sana kila unachokiona kwenye mitandao mkuu
Hakuna bingwa wa BAHATI
Huwezi kuuza kiwanja kwa sababu ya jerojero labda kama una stake kibundaJua aponyuma amechana mikeka 7000+ ndo kabaatusha 1, akuna uchawi jinsi unavyo weka mikeka mingi na ndo uwezekano wa kushindwa unakua mkubwa pia nandio unavyo pigwa mpaka utauza na kiwanja![emoji23][emoji12].
Kamaunajua kuliwa lazima fanya betting kama kuhonga, yaani huwezi weka 9lak uje uvune 10milion kwa hesabu za mkononi.Yaani we kweli mshamba yaani unashaangaa kuliwa kwenye betting wakati ni Moja ya sharti la betting kuliwa lazima
Umedata wewe kuliwa kawaida unachoshangaa nini sasaKamaunajua kuliwa lazima fanya betting kama kuhonga, yaani huwezi weka 9lak uje uvune 10milion kwa hesabu za mkononi.
Sasa mkuu laki9 ni jero?.Huwezi kuuza kiwanja kwa sababu ya jerojero labda kama una stake kibunda
Sishangai kwasababu kanji ni Bibiangu atanikiliwa najua naenda kufutulu kwake midanida[emoji23][emoji12].Umedata wewe kuliwa kawaida unachoshangaa nini sasa
Ni kawaida kwani shida Iko wapi ikiliwa si yanguSasa mkuu laki9 ni jero?.
Lakitisa ata kwa wiki mi simalizi.
Lakini betting ni ndani ya 90dak wamesha ipiga.
Sawa ushauli unasema hivi kwanye hiyo laki 9 toa laki 1, ipeleke betting utashinda pesa unazo hitaji,Ni kawaida kwani shida Iko wapi ikiliwa si yangu
Sawa ushauli unasema hivi kwanye hiyo laki 9 toa laki 1, ipeleke betting utashinda pesa unazo hitaji,
Utakuja kushukuru ikishapigwa kama ulivyo elekezwa apo awali.[emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ushauri utumie wewe mwenyewe
Yaan cjui shida ni nnMkuu naona Paripesa hakuna kabisa options za kuweka kwa mobile payment
Helabet ipo ila nimekwenda kwenye page yao ya FB naona watu wanalalamika hela zao hazifiki ukideposit
🙌 mwisho wangu nili stake 90k ikapigwa inaniuma mpaka leo nikaacha saiv ni mwendo wa mega odds tu stake jero tukiendekeza tamaa ndio kuangukia puaSasa mkuu laki9 ni jero?.
Lakitisa ata kwa wiki mi simalizi.
Lakini betting ni ndani ya 90dak wamesha ipiga.
HbHivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?
Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
Fact mr.[emoji119] mwisho wangu nili stake 90k ikapigwa inaniuma mpaka leo nikaacha saiv ni mwendo wa mega odds tu stake jero tukiendekeza tamaa ndio kuangukia pua