Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aise apa napumzika kubeti kanji safari hii anapiga kwenye utosi imagine leeds anapigwa akiwa kwake.
View attachment 2962417
hizi timu za leicester city,ipswitch town na leeds kwa sasa sio zakuziwekea pesa zinacheza kwa pressure sana, mchuano wakupanda ligi kuu ni mkali ndio maana timu zote 3 zimekuwa zikipata matokeo ya hovyo recently kutokana na presha yakupanda kuwa kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…