Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aise apa napumzika kubeti kanji safari hii anapiga kwenye utosi imagine leeds anapigwa akiwa kwake.
View attachment 2962417
hizi timu za leicester city,ipswitch town na leeds kwa sasa sio zakuziwekea pesa zinacheza kwa pressure sana, mchuano wakupanda ligi kuu ni mkali ndio maana timu zote 3 zimekuwa zikipata matokeo ya hovyo recently kutokana na presha yakupanda kuwa kubwa
 
Wazee tuwe makini na hii game ya Liva. Odds zilikuwa 1.18 lakini ghafla zimepanda hadi 1.21. Huu ni mtego wa panya. Ukiona hili tangazo mjulishe na mwenzako.
1713082012615.png
 
Back
Top Bottom