Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huchoki😂😂😂
Punguza makasiriko!
Nikipost code unaumia!?... Ama unauza odds!?

Nnae code ni mimi...anaumia mwingine!
Dah ..hii nchi ngumu aisee...

Ama hako kahela nakobetia kanakuuma?!

Elewa ukiliwa wewe ...sio wote wanaliwa!... Pambana na hali yako mkuu!..... Kumbe mipasho bado haijaisha humu!....

Haya sitapost tena mkuu ili usiendelee kuumia chief!
 
Choka bwana. Au kausha ufe mwenyewe huko, mipasho hatuachi, hela yako ila lazma tukuonee huruma.
 
Jana mikeka 4,unakufa mmoja mi 3 imeenda .odds za kibabe kubeti ni Bahati odds ya 1047 imetoa odds ya 87 time moja inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…