Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau hivi one cut na flex kwny sportbet zinanichanganya mfano one cut naona Hela uliyostake inakuja kidogo sana mfano stake 100k afu one cut inakuja 3k😂 mmh hatari sana
Wnyw wameeleza vzuri pale kwamba unaeza ikawa kubwa au ndogo kuliko stake yake inategemea na wao wanaekaje mara nyngi Hela inakuja ndogo kuliko stake yako
 
Hivi kama umecheza gemu Tano kwny mkeka afu zote zikatiki lakini ulikuwa umeflex je utalipwa Hela Ile ya kupatia gemu zote Tano ama unalipwa Ile inayokuja kwny kuflex?
 
Kama ana ndugu za wa damu hakuwapa bure wawe matajiriii kaona aje kutafuta Mazuzuuu insta na kweli anawapataa
...dah! maana naona daily matokeo yao wanayopost yanafikirisha, odds za kibabe halafu daily wanatoboa dah!
 
MISO MISSONDooooooo

Wamepigwaje hapoooooo🤣🤣🤣🤣🤣


Na ndio weekend haijaanza shughuli trela limeanza

Wake wa live score wahini Corners zitatoa kibao Liverpool na man united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…