kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Pia kwenye kuflex ukiflex Kwa 3 afu zikachana 2 VP apo unalipwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kama umeflex Kwa 3 manake ikichana gemu Moja mpaka 3 tu isizid 3Pia kwenye kuflex ukiflex Kwa 3 afu zikachana 2 VP apo unalipwa?
Wnyw wameeleza vzuri pale kwamba unaeza ikawa kubwa au ndogo kuliko stake yake inategemea na wao wanaekaje mara nyngi Hela inakuja ndogo kuliko stake yakoWadau hivi one cut na flex kwny sportbet zinanichanganya mfano one cut naona Hela uliyostake inakuja kidogo sana mfano stake 100k afu one cut inakuja 3k😂 mmh hatari sana
Flexed money ndio unapewaHivi kama umecheza gemu Tano kwny mkeka afu zote zikatiki lakini ulikuwa umeflex je utalipwa Hela Ile ya kupatia gemu zote Tano ama unalipwa Ile inayokuja kwny kuflex?
Kama ana ndugu za wa damu hakuwapa bure wawe matajiriii kaona aje kutafuta Mazuzuuu insta na kweli anawapataaHivi wale jamaa wa Instagram wanaouza mikeka ya timu 3, huwa ni uhakika au, nataka niweke pesa
Weka kisha utupe mrejeshoHivi wale jamaa wa Instagram wanaouza mikeka ya timu 3, huwa ni uhakika au, nataka niweke pesa
...hahahaaWeka kisha utupe mrejesho
Maana uhakika hatuna,maana mpira hatuchezi sie
...dah! maana naona daily matokeo yao wanayopost yanafikirisha, odds za kibabe halafu daily wanatoboa dah!Kama ana ndugu za wa damu hakuwapa bure wawe matajiriii kaona aje kutafuta Mazuzuuu insta na kweli anawapataa
Jichanganyee ndo utajuaa hujuiii.. Matokeo wanayopost sio mechi walizopost kwenye app...dah! maana naona daily matokeo yao wanayopost yanafikirisha, odds za kibabe halafu daily wanatoboa dah!
Sio poa yani. Yani hapa akili ishayumba yani. Amezingua kinoma yani.Dahh.. Zenit ameamua kunitaabisha. Bas sawa.
Mimi nilimwomba goli moja tu ila naona amekaziwaDahh.. Zenit ameamua kunitaabisha. Bas sawa.