GN+2 ikiwa 2-1 mkeka umewin
cha boooooomEL GAISH
HT X 2.O0
Watu wa Mpira hasa wanaoingia mara kwa mara Uwanjani hapo wameshajua na kunielewa isipokuwa na Majuha tu.Mkuu umekuwa kama watu wa dodoma, maana wengi wao ndio hupenda kutoa directions kwa kutumia hayo maneno kaskazini, kusini, mashariki na magharibi, ungesema tu goli la kulia au kushoto ukiwa unaingia
Oohh safi, sikujua kama jamiiforums inatumiwa na watu waliowahi kuingia kwa mkapa tu, kama wote wamekuelewa basi ni vizuriWatu wa Mpira hasa wanaoingia mara kwa mara Uwanjani hapo wameshajua na kunielewa isipokuwa na Majuha tu.
Mshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.Oohh safi, sikujua kama jamiiforums inatumiwa na watu waliowahi kuingia kwa mkapa tu, kama wote wamekuelewa basi ni vizuri
Sikujua kama una ulimbukeni kiasi hikoMshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.
Imeisha hiyo.....!!
Usisahau kuwaambia game inachezwa tarehe 9 siyo 8 najua wewe utanielewA, ila mambululu wa kazi hizi hawawezi elewaNimeshamaliza hivyo kama hujui Jiografia ya Uwanja husika muulize yoyote anayejua ili uanze ama Kufurahi au Kulia.
Zingatia +22-1 timu zinakuwa zimefungana, tayari unakuwa umekufa kwa maana ya GN (one team should not score)
Mshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.Sikujua kama una ulimbukeni kiasi hiko
Una mipasho sana we dada, kwani hakuna jukwaa la taarabu ?Mshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.
Imeisha hiyo.....!!
Mshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.Una mipasho sana we dada, kwani hakuna jukwaa la taarabu ?