Msimu uliopita niliweka kiwango kama hichi na mwisho wa msimu nikawithdraw million 8 na msimu huu nimeweka hii pesa najua wengi mnabeza ila betting inahitaji hesabu Kali sana na sehemu yenye pesa lazima tufanikiwe wachache wenye kujua kupoteza na kushinda ni kawaida Mimi huwa kubeti kwangu mechi mwisho 5 kushuka chini ndio nimejiwekea huu utaratibu ukiona mtu anasema betting ngumu ujue amekurupuka sababu kama kupoteza pesa kupo tu tunachotafuta ni faida yaani lost zisizidi win yaani namaanisha winning ziwe nyingi Leo tunaenda kuanza msimu tutakutana msimu ujao mwezi kama huu hii ndio ajira yangu rasmi na imenipa pesa nyingi sana mpaka Kiwanja na msimu huu inaenda kunipa pesa za ujenzi kama haumini Sina haja ya kukuaminisha sababu hii ngoma wewe uliishindwa kuicheza hivyo hauamini kwenye kufanikiwa ukiona betting Haina faida nenda kalime uje utuuzie chakula sisi ambao tunachukua pesa kwenye betting