Ngoja nishushe Code Ya PARIPESA itakayo tupatia laki tatu leo hii. Jiandae mkuuSitaki ligi mzee endelea kuzibetia
Nimekuambia sitaki ligi endelea kubetia hizo kampuni za mrusi Kwa Mimi hazinifaisiwezi weka pesa kampuni nakaa roho juu Kila siku kuwithdraw kuogopa option ya kutoa pesa kutolewaMkuu wote tunatumia Sportybet, ubora na udhaifu wake tunajua.
Haya matatizo hutoyakuta sportybet yapo kwenye kampuni za mrusi 🤣🤣🤣Jamani mwenye kutumia Paripesa mbonq pesa haitoki?
Ngoja nishushe Code Ya PARIPESA itakayo tupatia laki tatu leo hii. Jiandae mkuu
dakika?????Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwa
Hao hawanaga mambo mengidakika?????
yani jmosi mechi ya barca niliweka 2+,wale madogo walivochomoa tu mzigo ukaweka
sportybet ni
Nimeona niwape sapoti maana ndio wanaolipa mishahara ya kina Che Malone. Nipe mwongozo mkuu, wako hovyo sana?Duh bado unabetia M-bet hadi sasa???
Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.Lete aisee tuko macho mbaya kabisa.
m-bet walinipga sana 2014 mpaka 2016....unashinda 30k unapewa 20k hamna pa kulalamika,ligi ya kibongo hamna na option zilikua chache mno.......Nimeona niwape sapoti maana ndio wanaolipa mishahara ya kina Che Malone. Nipe mwongozo mkuu, wako hovyo sana?
Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.
Kwani sporty bet ni mhindi?Mkuu lakini watu wanaponda kampuni za Mrusi ambazo zinatuingizia hela mara nyingi kuliko Sportybet, ila sisi leo tunaendelea kumpiga Mrusi, wao waendelee kumpiga mhindi😎. Baadae kidogo ngoja niandae.
Ukiongea anataka ligi.Li kampuni lako hamna kitu, niliweka hela hamna bonus nilioioata nikitaka nimtoe hela yangu inasema mpaka nitumiwe verification code kwenye namba ya simu na situmiwi hiyo verification code, simshauri mtu kutumia PariPesa! Njoo I kwenye sportybet mambo ni 🚨🚨 soon nitakuja kuanza kutulia codes za sportybet kama msimu iliopita
Mimi situmii mitandao ya simu kudeposit na ku withdraw, natumia sarafu ya mtandaoni.Kwako leo Paripesa inatoka pesa? Natumia line ya Vodacom............ila kuweka mfumo ipo sawa ila kutoa mfumo wa vodacom haipo😑😑
Mkuu hizo ni kampuni kubwa duniani, ili utumie lazima ujaze taarifa zako kikamilifu. Unaongea kuhusu verification code kwenye PARIPESA, vipi kama ungekuwa unatumia BC GAMES?Li kampuni lako hamna kitu, niliweka hela hamna bonus nilioioata nikitaka nimtoe hela yangu inasema mpaka nitumiwe verification code kwenye namba ya simu na situmiwi hiyo verification code, simshauri mtu kutumia PariPesa! Njoo I kwenye sportybet mambo ni 🚨🚨 soon nitakuja kuanza kutulia codes za sportybet kama msimu iliopita
Yaani kitendo Cha kutumia kampuni ambayo haijasajiliwa tanzania ni risk sana maana wengine tunapenda kuweka mizigo mikubwa Sasa ikatokea ikazingua aisee ni kichomi yaani kampuni inamsumbua mteja kuweka na kutoa pesa kama sio uswahili ni niniTuwaache wajinga watakao mfuata, kikubwa tahadhari zimetolewa
Sasa PARIPESA haijasajiliwa Tanzania? Huoni kabisa kuna kodi inakatwa na serikali kabisa? Ona kodi niliyolipa jana👇👇Yaani kitendo Cha kutumia kampuni ambayo haijasajiliwa tanzania ni risk sana maana wengine tunapenda kuweka mizigo mikubwa Sasa ikatokea ikazingua aisee ni kichomi
Kwani nimezungumzia paripesa hapo mzee mbona unajishtukia kampuni si zipo nyingiSasa PARIPESA haijasajiliwa Tanzania? Huoni kabisa kuna kodi inakatwa na serikali kabisa?
Wakinifanyia uhuni nitawasagia kunguni hadi wakimbie nchi hii. Nimescreenshot mkeka wangu sasa sijui wataniambia nini na namba zao hazipatikani.m-bet walinipga sana 2014 mpaka 2016....unashinda 30k unapewa 20k hamna pa kulalamika,ligi ya kibongo hamna na option zilikua chache mno.......
kwa sasa mimi na sportybet namwagiwa hera tu na kanji