The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Wanayo app na hawana utapeliWakinifanyia uhuni nitawasagia kunguni hadi wakimbie nchi hii. Nimescreenshot mkeka wangu sasa sijui wataniambia nini na namba zao hazipatikani.
Hao sportybet wana app na hawana makandokando?
Share codes bas mkuu tumle kanjim-bet walinipga sana 2014 mpaka 2016....unashinda 30k unapewa 20k hamna pa kulalamika,ligi ya kibongo hamna na option zilikua chache mno.......
kwa sasa mimi na sportybet namwagiwa hera tu na kanji
Mkuu naomba uwe unatuma na code za sportybet, maana naona wadau wengi wapo hukoWale ambao hawakuona bonus baada ya kujisajili na kudeposit, wajaribu kufanya yafuatayo.
1. Bonus inawekwa kwenye akaunti tofauti na akaunti kuu. Bonus inawekwa kwenye akaunti ya bonus automatically ukisha deposit na kama umejisajili kikamilifu.
2. Unaweza kuwasiliana na customer support, eleza shida yako na watakuwekea.
3. Kuona hela ya bonus, Switch Account kutoka kwenye main account kwenda kwenye bonus account. And vice verse
Code ya ushindi ipo kwenye post ya 2 kwenye uzi huu. Nimeanza kuitumia jana nimekula 60K safiii ila kuitoa ndiyo bado kimbembe. Nimeamua kuwekeza rasmi kwenye soka, target ya kwanza kula 50K kwa siku.Share codes bas mkuu tumle kanji
😂😂😂kuna watu mna vituko sana.Wakuu natafuta kampuni nzuri yenye option za kutosha ambayo Haina cash out nataka jiandae kitu kimoja hatari sana Kwa muhindi kinipe mamilioni
Mkuu matimu ya Italy na France ni pasua kichwa. Kama unabetia matimu hayo, weka 1 or 2. Au chagua cards au corners. Hayo matimu ni maquma kabisa mkuuJamaa anasema hatujui kubeti,,,, binafsi nilimpa DC pia maana ulikuwa ni mkeka wa siku mbili na niliweka 200k kwa odds 9 jumla zilikuwa,, na alibaki yeye, braga na atletico na zote niliwapa win draw
Anyway ndo betting maana kuna mtu akiotea anaona wengine hawana akili na hawajui kufikili
Binafsi timu za Italy hata awe inter sitothubutu kuzigusa kwa option yeyote,,, nitavumilia ligi tatu tu Spanish, england na German na France ni win draw basi
Mkuu inawezekana kabisa kutuma shida ya Sportybet ni hawana machaguo ya kutupa hela. Unakuta kampuni ya Mrusi imeanzia goli moja hata kama odd ni ndogo, Sportybet ina anza na over 2.5, mwenzake ana fouls, saves, shots on target, throw ins, yeye hana. Ndiyo maana napendelea Mrusi. Ila mara moja moja nitakuwa naleta code za Sportybet maana huwa natumia piaMkuu naomba uwe unatuma na code za sportybet, maana naona wadau wengi wapo huko
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sijui😂😂😂kuna watu mna vituko sana.
Sasa cash out ina kuzuia nini kushinda?
Mkuu atakuwa ali Cashout halafu Mkeka ukatick. Unajua maumivu ya ku Cashout halafu Mkeka uka Boom?😂😂😂kuna watu mna vituko sana.
Sasa cash out ina kuzuia nini kushinda?
Jana Nice kanichania nmempa corner aongoze kweli mpaka mapumziko ana 3 Kwa 1 FT 4-4Mkuu matimu ya Italy na France ni pasua kichwa. Kama unabetia matimu hayo, weka 1 or 2. Au chagua cards au corners. Hayo matimu ni maquma kabisa mkuu
Havina uhusiano wowote.wewe kama unaweza weka mkeka ukiona wameweka cash out potezea subiri mpaka mechi ziishe uchukue chako.Sijui
pole sana mkuu. Matimu ya Italy kuna timu moja tu inayofaa kupewa direct win (Inter) na Ufaranca ni timu moja tu (PSG). Matimu mengine yote yaliyosalia ni kumaamae tu!Jana Nice kanichania nmempa corner aongoze kweli mpaka mapumziko ana 3 Kwa 1 FT 4-4
Hiyo pesa yote uliipata baada ya kubet?Sportybet kwenye ishu ya ku-Withdraw
Mfano Kuna Balance ya 100,000
Kuna withdrawable 600
Anaitaji kutoa 80,000 ila inagoma unalazimishwa kutoa 600.
Kwanini hawataki utoe kiwango unachoitaji wewe au ndo utaratibu wao mpya mwenye kujua hili jambo msaada ..
Hii iliwiniTengeneza code yako haya na nyie Simba lenu hilo View attachment 3078836
NdioHii iliwini