Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

pamoja mkuu
 
Huo mfumo ndio wa uswahili Sasa yaani mtu kuweka pesa mpaka wakala yaani wakala awe anajua Mimi nimeweka kiasi gani na nimewithdraw kiasi gani si mambo ya ajabu hapo ndio haya makampuni ya kirusi yanapofeli
Mkuu hiyo ni kwasababu 1xbet haijasajiliwa kufanya kazi Tz
Njia ya kuweka hela kwa wakala ni njia ya panya(haramu) na ni kosa kisheria

Njia hii tunakwenda nayo kimagumashi na kiuaminifu tu
Ukimtumia hela wakala au ukila parefu wakala anaweza kuchukua hizo hela na hauna pa kwenda kumshtaki
 
Mkuu mimi natumia zaidi 1xbet
Kuna wakati tulikua hadi tuna deposit/withdraw kwa Bitcoins kwasababu ya machaguo mengi na rahisi kutumia

Mkuu 1xbet wana limit pia kutokana na hadhi ya game/league
Ligi zote za kichovu kama ligi zetu za Bongo wana limit stake kwasababu ni rahisi kupanga matokeo
Uzuri ni kwamba kabla hujabet wanakuonyesha kabisa kiwango cha chini na cha juu cha stake unaweza kustake

Jaribu kuangalia ligi daraja la kwanza Tz uone maximum stake ni sh ngapi ukilinganisha na EPL
 
SPORTBETY - SPORTBETY - SPORTBETY

4 ODDS

CODE:- 800F8B1

Nickname:- TOP CLASS STAKERS

Kibwagizo: -
-100,000 kuliwa laki au laki kula 400,000
- 500,000 kuliwa laki 5 au kula 2 millions
Au test mtambo 10,000 kuliwa 10 au kula 40,0000

Shukran Wadau,leo naishia hapa

Twendeeeee

 

TENGENEZA FAIDA YA 75000 LEO KATIKA PARIPESA KWA STAKE YA 100000.

Bet PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA tengeneza akaunti yako ya PARIPESA Hapa. Kisha Deposit 100000 na Bet👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA👉👉 TIPS2424

Booking Code: 6PF59

PATA BONUS YA MPAKA TZS 250000 KWA KUJISAJILI KUPITIA LINK HIZO HAPO JUU NA PROMO CODE TIPS2424
 
Daaa!!! Naona Azam anaenda kuchana mikeka ya Wana, lakini fresh2 ndo changamoto hizi,I think this will be the last time kuwapa dhamana hawa washenzi wa ngozi 🚶🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…