Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika
MIKEKA YAKO NI HAMNA KITU! KATI YA MITANO UNATIKI MMOJALeo tutakuwa na Mkeka Wa odds 2 - 11, wa odds 3, odds 2 na odds 1.90. Odds zote hizo kwenye PariPesa. Kama una amini leo tuta mpiga kanji basi Jisajili PARIPESA Kwa Kubonyeza link hii👇
PariPesa
PariPesa
Sehemu Ya Promo Code weka👉 TIPS2424
Betting ni imani. Kama huna imani na betting acha betting. Wengi hukata tamaa kwenye betting kabla hawajashinda ushindi mkubwa, licha ya kuwa wamepoteza pesa nyingi kwenye betting. Mimi sitakata tamaa.
Mh mech ya kagera sugar na Yanga over 2.5 imewekwa odds 2
Ni kweli mkuu, ila umesahau kuwa siku chache zilizopita nimeshinda odds 11 na 10 mfululizo? Na mingine yenye odds 2 - 3, muda si mrefu utabadili mawazo yako. Na hii ndiyo betting mkuu. Wewe niambie nani anapost mikeka 5 anashinda yote kila siku?MIKEKA YAKO NI HAMNA KITU! KATI YA MITANO UNATIKI MMOJA
SIASIA SITAKI NAJUULISHA UMA KWAMBA SITOBETIA KAMPUNI YAKO! NAJUA WEWE NI CHAWA NA UPO KAZINI SIWEZI KUKUINGILIA KWENYE KAZI ZAKO.Ni kweli mkuu, ila umesahau kuwa siku chache zilizopita nimeshinda odds 11 na 10 mfululizo? Na mingine yenye odds 2 - 3, muda si mrefu utabadili mawazo yako. Na hii ndiyo betting mkuu. Wewe niambie nani anapost mikeka 5 anashinda yote kila siku?
Namungo vipi tumpe mazima au gg?Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika
Weka over 1.5 utakuja baadae kunishukuruNamungo vipi tumpe mazima au gg?
Ila watu wengine mnataka kuliwa tuu....sasa wee jkt ilikuwa haijacheza ata mechi moya, azam performance yake dhidi ya yanga apr mashaka alafu unampa mazima 🤣🤣🤣🤣Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.
Anyway tusubiri Tips za leo.
Ni kumlinda tu kazi imeisha hana point ata Moja lazima apate point akae mbele kuleKivipi? Toa tips basi[emoji848]
Mimi Hao jamaa siwaelewi kabisa ila kwa over 0.5 over game nzima fresh ata kama ipo 4.5 under nayo furesh tuNamungo vipi tumpe mazima au gg?
Nakubali nakubaliNdiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.
Anyway tusubiri Tips za leo.
Sawa mkuu. Kila la kheri na safari njemaSIASIA SITAKI NAJUULISHA UMA KWAMBA SITOBETIA KAMPUNI YAKO! NAJUA WEWE NI CHAWA NA UPO KAZINI SIWEZI KUKUINGILIA KWENYE KAZI ZAKO.
Na wewe kila la heri kwenye hiyo kazi inayowafanyia PariPesaSawa mkuu. Kila la kheri na safari njema
Yanga ana uhakika akiwa nyumbani,kule Kaitaba lolote linaweza kutokea!!Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika
Bado sijaanza kutengeneza codes zangu nilikua nachukua zako!Mkuu mimi nadhani ungekuwa umeongea la maana kama ungesema kuanzia leo hutofuata mikeka yangu, kwa sababu shida inaonekana ni mikeka yangu kutoshinda kila siku. Kama mikeka yangu haishindi kila siku nadhani ilikuwa ni vizuri uwe unajitengenezea mikeka mwenyewe ili ikichana usiwe na mtu wa kumlaumu kwa sababu alitoa Code. Lakini kuhama kampuni eti kisa Code za mtu zilichana. Je huko uendako utakuwa unashinda? Jana umeshinda shilingi ngapi kati ya mikeka yako 3 au 4 uliyobeti tena kwa kampuni yako pendwa?
Mechi ya yanga ipeni over 1.5, baadae mtakuja kuniambiaYanga ana uhakika akiwa nyumbani,kule Kaitaba lolote linaweza kutokea!!
Unakumbuka ya Ihefu?watu walitia mzingo wa kutosha!!
Aaaa kimyaa!!! Najua mabosi wako wapo humu jf ujumbe woa ni kwamba kwa hapa wamelikoroga waende Facebook na telegram!! Nakuonea huruma kwakua ndio ugali wako upo humu,Haya na leo kuna Code za ushindi zipo zitakuja muda si mrefu. Vita yetu ni dhidi ya Kanji. Sisi wote ni wakamaria. Twenzetu na leo mkuu.
Hizo bet mwenyeweHaya na leo kuna Code za ushindi zipo zitakuja muda si mrefu. Vita yetu ni dhidi ya Kanji. Sisi wote ni wakamaria. Twenzetu na leo mkuu.