Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mpira una maajabu yake mkuu acha ushabiki ,aibu unaona sasa
 
Here We Go! βœ…
2 Odds. 90β„…πŸ”ž
 

Attachments

  • IMG-20240911-WA0004.jpg
    55.3 KB · Views: 3
Duuh aisee Starz wamekuumbua
Betting haitabiriki, kuwa makini utapigika.
 
2 ODDS SAVINGS ❀️☘


πŸ™ŒπŸ’ͺ☘
 

Attachments

  • IMG_20240911_151544_879.jpg
    87.4 KB · Views: 4
D736B29 4.44 Odds πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Show 100 Massive Reactions 🧌πŸ₯Ή
 

Attachments

  • IMG_20240911_151800_498.jpg
    83.5 KB · Views: 4
Nigeria

 
Mkuu wewe endelea kutumia Sportybet. Betting ni imani. Halafu nikuulize swali? Katika mwaka mmoja Watanzania wangapi wanashinda hizo milioni 90 au milion 50 mkuu? Inapita miaka hata miwili hakuna mtu aliye shinda hiyo milion 90. Asilimia ya mtu kushinda milion 90 ni asilimia 0.0001.
 
Pole sana endelea kupoteza mda betting ni target sio kuzunguka kwenye makampuni kutafuta option na utamaliza makampuni yote duniani
 
Mkuu wewe umeshinda milion 20 lini kwa kutumia Sportybet? Na umeanza kubeti lini? Mara ya mwisho kusikia Mtanzania ameshinda milioni 90 zaidi ya jana ni lini?
Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu hizo stake zako ni edit unaponza wenzio kiufupi wewe ni chawa wa kampuni za mrusi
 
Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu
Mkuu siyo lazima watu wafuate mikeka yangu kama vile ambavyo wewe ukipost Code yako humu siyo lazima mtu aibetie. Kuna code mamia zinawekwa humu Kila siku siyo lazima ufuate. Halafu hebu niambie ni nani anashinda kila siku kwenye betting? Au wewe mwenzangu mikeka yako hushinda kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…