Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.
Tanzania hata jua liwake hatuwezi kuwafunga Guine wakiwa kwao.
So. Mlinde Guine na magoli yasifike ma4.
Kazi njema.
mpira una maajabu yake mkuu acha ushabiki ,aibu unaona sasa
 
download.jpeg

Jiunge Kwenye Channel Ya WhatsApp Hapa👇
Kayombo Tips⚽🥎🏈🎾🎱🏀 | WhatsApp-Kanal

download.png

Telegram Channel Jiunge Hapa 👇
Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀

Kujiunga Na Kutumia Telegram Hakikisha Umewasha VPN
 
Here We Go! ✅
2 Odds. 90℅🔞
 
Attachments

  • IMG-20240911-WA0004.jpg
    IMG-20240911-WA0004.jpg
    55.3 KB · Views: 3
Huu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.
Tanzania hata jua liwake hatuwezi kuwafunga Guine wakiwa kwao.
So. Mlinde Guine na magoli yasifike ma4.
Kazi njema.
Duuh aisee Starz wamekuumbua
Betting haitabiriki, kuwa makini utapigika.
 
2 ODDS SAVINGS ❤️☘

🙌💪☘
 
Attachments

  • IMG_20240911_151544_879.jpg
    IMG_20240911_151544_879.jpg
    87.4 KB · Views: 4
D736B29 4.44 Odds 🔥🔥🔥🔥

Show 100 Massive Reactions 🧌🥹
 
Attachments

  • IMG_20240911_151800_498.jpg
    IMG_20240911_151800_498.jpg
    83.5 KB · Views: 4
Mnahangaika weee hizo kampuni zenu za kirusi halafu mnalose Cha ajabu mara njia za kuweka na kutoa pesa wazitoe eti kisa option ila Kuna jamaa yupo Twitter ameshamlamba sportybet million 200 Kwa option za win na double chance tu Jana kamlamba million 90 kama kutoboa unatoboa tu hata option ya win
Mkuu wewe endelea kutumia Sportybet. Betting ni imani. Halafu nikuulize swali? Katika mwaka mmoja Watanzania wangapi wanashinda hizo milioni 90 au milion 50 mkuu? Inapita miaka hata miwili hakuna mtu aliye shinda hiyo milion 90. Asilimia ya mtu kushinda milion 90 ni asilimia 0.0001.
 
Pole sana endelea kupoteza mda betting ni target sio kuzunguka kwenye makampuni kutafuta option na utamaliza makampuni yote duniani
 
Mkuu wewe umeshinda milion 20 lini kwa kutumia Sportybet? Na umeanza kubeti lini? Mara ya mwisho kusikia Mtanzania ameshinda milioni 90 zaidi ya jana ni lini?
Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu hizo stake zako ni edit unaponza wenzio kiufupi wewe ni chawa wa kampuni za mrusi
 
Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu
Mkuu siyo lazima watu wafuate mikeka yangu kama vile ambavyo wewe ukipost Code yako humu siyo lazima mtu aibetie. Kuna code mamia zinawekwa humu Kila siku siyo lazima ufuate. Halafu hebu niambie ni nani anashinda kila siku kwenye betting? Au wewe mwenzangu mikeka yako hushinda kila siku?
 
Back
Top Bottom