Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu hizo stake zako ni edit unaponza wenzio kiufupi wewe ni chawa wa kampuni za mrusi
Umeona jana tu ndiyo ameshinda, na kampuni ya Sportybet ina miaka mingi tu hapa. Mkuu elewa kwamba nafasi ya mtu kushinda milion 90 kwa stake ya hata 50000 ni ndogo sana, ndiyo maana hupita miaka mtu kumpiga Kanji milioni 50+
 
Wewe huyo jamaa ni hatari mwezi wa nane kampiga million 70 na option ni win tu wewe na hiyo kampuni Yako yenye option nyingi umeshawahi kula hata milion 50
 
Wewe huyo jamaa ni hatari mwezi wa nane kampiga million 70 wewe na hiyo kampuni Yako yenye option nyingi umeshawahi kula hata milion 50
Bahati mbaya au nzuri huwa sitengenezi mikeka ya kushinda hizo milioni 90 au 100. Mimi huwa natafuta odds zangu 2 - 10, mara moja moja sana kunikuta natafuta milion 30
 
Wewe huyo jamaa ni hatari mwezi wa nane kampiga million 70 wewe na hiyo kampuni Yako yenye option nyingi umeshawahi kula hata milion 50
Kwa bahati mbaya au nzuri huwa sitengenezi mikeka ya kushinda hizo milioni 90 au 100. Mimi huwa natafuta odds zangu 2 - 10, mara moja moja sana kunikuta natafuta milioni 30+.
 
Kwa bahati mbaya au nzuri huwa sitengenezi mikeka ya kushinda hizo milioni 90 au 100. Mimi huwa natafuta odds zangu 2 - 10, mara moja moja sana kunikuta natafuta milioni 30+.
Poa tuonyeshe hata Salio la 10m kwenye account Yako ya mrusi Ili tuamini wewe kweli unawin maana usijekua unatumia demo account kuingiza watu Chaka hapa maana machawa wa kampuni za kirusi ndio kawaida yenu
 
Poa tuonyeshe hata Salio la 10m kwenye account Yako ya mrusi Ili tuamini wewe kweli unawin maana usijekua unatumia demo account kuingiza watu Chaka hapa
Mkuu ipo zaidi ya hiyo na siyo lazima niweke hapa
 
KAMBA ZIMEANZA sasa🤣🤣🤣🤣🤣

Siku kukiwa hakuna games nyingi huu ujinga ndio unatawala🤣🤣🤣

Haya endeleeni na show off
 
Kwenye verification code inazingua, Ile code inakuja naweka lakini usajili haukamiliki nini shida?
Unaweza usiweke Promo Code ila mtu aneyetumia Promo Code anakuwa anapewa bonus
 
Onyesha Sasa hiyo 10m Ili tukuamin sikuelewi sio unaleta mambo ya edit tupo makini sana
Basi tuishie hapa, hata nikileta halisi Utasema ni edit. Umejuaje kuwa nimeedit? Iliyoeditiwa inakuwaje na ambayo haijaeditiwa inakuwaje? Usicho jua ni kuwa kampuni ambayo unaweza ku manipulate watu kwa ku edit ni Sportybet na siyo kampuni za Mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…