Umeona jana tu ndiyo ameshinda, na kampuni ya Sportybet ina miaka mingi tu hapa. Mkuu elewa kwamba nafasi ya mtu kushinda milion 90 kwa stake ya hata 50000 ni ndogo sana, ndiyo maana hupita miaka mtu kumpiga Kanji milioni 50+Nimeona Jana jamaa kashinda milion 90 kupitia sportybet endelea kupoteza mda halafu wote wanaofuata mikeka yako wanaleta vilio humu hizo stake zako ni edit unaponza wenzio kiufupi wewe ni chawa wa kampuni za mrusi