Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Tot anapelekewa moto kabisa hawa watoto Hawana bahati tu ila wangekua wanaongoza mpka sasaTOTTENHAM yeye NDIO kiboko
Hana shot on target wala shot off target 🤣🤣🤣 aiseeee
Let's wait for the second half
Yaani hatari,watoto wa Championship balaaTot anapelekewa moto kabisa hawa watoto Hawana bahati tu ila wangekua wanaongoza mpka sasa
KashawekwaKina spurs wanaruka2 tu uwanjani
Unataka kula kila siku!!?..kusingekua na kampuni nyingi hivi za kubetMuda wa MAWAIDHA na USHAURI NASAHA umekaribia
Ukipiga bao Moja Mkeo leo na ukirejea wewe kidume,huu mchezo unakata stim,jana piga mauno kama FEI Toto leo mpaka sehem ya uume sijui kama ipo, maninaaa betting
huwa nazichukia sana kauli kama vile,yule jamaa wa jana aliyesema asiyekula jana aache kubet. upepo wa leo anauonaje?