Supermaker
Member
- Oct 25, 2023
- 7
- 7
kinachoniuma nimemfuata city, spurs na psg live dk ya 60, dk ya 80+ nikawafuata city na psg live tena, nikamwacha tot.....Wajameni eeeeeeee
Jana kutam
Leo Man City katupa uchungu
Kesho kutammm
Duhh 10,000 ulioweka wameseoa nayo? Pole Mdaukinachoniuma nimemfuata city, spurs na psg live dk ya 60, dk ya 80+ nikawafuata city na psg live tena, nikamwacha tot.....
anyway, kesho nayo siku....tutatema tulizokula jana[emoji23][emoji23][emoji23]
CIty kamuwakilisha kanji vyemaNaamka saizi naona balance 0, kwenda kuchek kumbe city katoka nyaunyau
Man City Jana katupa uthibitisho kuwa Betting Haina uhakika, ni try and error. Hakunaga uhakika wa kujua matokeo yatakuwajeOdds 10 mancity peke yake kaharibu.
Bora leverkusen na barcelona.Nawaza kujilipua
Arsenal win
Barcelona win
Hata mimi.....kaninyima, kiufupi Man city jana kapita na Kijiji kizima cha Ikwiriri, na bado haitoshi kawalaza watu na viatu😅😅😅😅😅😅Odds 10 mancity peke yake kaharibu.
Mbona juzi Direct Win zilitembea, huwez tabiri hii kitu kirahisi.leo hakuna kuipa team direct wins kama jana …leo ni mwendo wakulinda tu .
Uhakikaa..!Bora leverkusen na barcelona.
Atlanta huwa wanashangaza, rejea liverpool na leverkusen waliwahi pigwa bila kuta