Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah 😂😂😂
 

Attachments

  • FB_IMG_1726692863477.jpg
    FB_IMG_1726692863477.jpg
    63.9 KB · Views: 2
kinachoniuma nimemfuata city, spurs na psg live dk ya 60, dk ya 80+ nikawafuata city na psg live tena, nikamwacha tot.....

anyway, kesho nayo siku....tutatema tulizokula jana[emoji23][emoji23][emoji23]
Duhh 10,000 ulioweka wameseoa nayo? Pole Mdau

Ila uliiweka muda mbaya sana, ungekuwa pia unaiona match at least
Spurs mwenyewe alizidiwa,madogo tu wamejichanganya
 
Monaco - Barcelona 2
Atalanta - Arsenal 2
Brest - Sturm Graz 1X
Trabzonspor - Kayserispor 1
Elfsborg - Norrkoping 1
Kwa mikeka zaidi ya leo tembelea link hapa chini
 
Back
Top Bottom