Kwa faida ya watu wasio na simu itabidi predictions za hawa jamaa tuwe tunaziweka mapema
Sawa mkuu ... leo bado hawajatoa predictions zao. Wakizitoa nitazirusha hapa immediately. Wadau wazijadili na kuona zipi tuzifuate.
Yes ni kuwa zitafungana na No hazitafungana, kama ni ndio ina maana kila timu itapata goli na kama ni hapa zote au moja haitapata goliHabari za muda huu wangwana naombeni ufafanuzi juu ya kubet kuhusu timu zote zitafungana kupitia m-bet manake nikichagua timu naambiwa EXAMPLE
CHELSEA VS WHU
CHELSEA
1.YES
2.NO
Kwa kifupi sijaelewa manake nimechoka na hizi game za normal nataka nihamie huko kwa Timu zote zitafungana , Naombeni ufafanuzi wakuu.
Match 13 zote wamebutua mkuu duh afu Jana sikuangaika nao kabisaaWENYE BANKOCEP WAINGIE NASKIA ILIKUWA NI SHEREHE MIE NATUMIA PC ,
Shukrani mkuu nimekuelewa ngoja niende kwenye tovuti ya m bet nikabet.Yes ni kuwa zitafungana na No hazitafungana, kama ni ndio ina maana kila timu itapata goli na kama ni hapa zote au moja haitapata goli
Rey Jana najilaumu sana yaani pamoja na kuwa na app yao na nliwaangalia ila sikutia hata mkeka mmoja kutoka kwao sasa kimbembe Leo nliingia kuwaangalia najilaum mpaka sasa. huyu kanji atakuwa analoga sio bure.http://Poa mkuu, mimi ninacheki trend. Next wiki natumbukiza miguu yote.
nachukua odds 5 hapa
Rey Jana najilaumu sana yaani pamoja na kuwa na app yao na nliwaangalia ila sikutia hata mkeka mmoja kutoka kwao sasa kimbembe Leo nliingia kuwaangalia najilaum mpaka sasa. huyu kanji atakuwa analoga sio bure.
dah ni kweli aisee hata mambo hayatabiriki kabisa. Hata ukiangalia mtu anayekula sana msipomfwata anatusua na mkifwata siku mnakula za uso[emoji12]Mara nyingi inatokea hivyo, siku unapowaacha ndo wanatusua. Ila ukicheza wanachemsha.
Itakuja sema inachukua muda saa nyingineWadau nimehamisha hela toka premier toka jana saa saba usiku haijafika kwny tigo pesa, je inachukua muda kiasi hiki??