Mtoto wa nzi mfano wakitoa 2:0 cha kwanza afu cha pili yakaongeeka 3:0 na match kuisha 2:3 inakuwaje hapo kamandaHuyu keshapita na ishawekwa kijani...
Maelezo :
Kipindi cha kwanza wameenda 1-0 (under 1.5 first half)
Kipindi cha pili wameenda 2-2 (over 1.5 second half).... Hivyo basi kila kipindi hakijatoa UNDER 1.5 .... Hivyo lile chaguo na UNDER 1.5 EACH HALF NO LIMEKUBALI ...... HAYA KAZI KWENU NA ODDS HAZIPUNGUI 1.30.....
Barnsley GG
Bristol rovers GG
Fleetwood GG
Odds 5
kampuni gani hiyo mkuukampuni gani kuna option hyo maana naiona rahis sana
LOGINMeridian bet
Wameanza utapeli?
Nimedeposit Salio Jana, jumamosi majira ya SAA tatu asubuhi.
Hadi Leo account inasoma 0.
Kulikoni?
VP mkuu wewe umepata hela? Maana kuna siku Mimi niliona kitu kamaicho ila nikaachaWakuu mmekosa hela ya bure kabisa
Safi sanaaNimepata kama 25 hivi
Wale wa mkeka mechi ya dinamo moscow imeisha ila jamaa bado hawajaitoa na inakubali kubeti kazi kwenu
Kama kawaida nimerudi mzigoni. Nishatoka kwenye jembe nimerudi kwa kanji.
Monaco Y odds 2.1
Stake 100k
RAT 210K
Profit 110k
10% sadaka 11K
reserve for personal use 99k
Initial capital 100K
Y inamaanisha Nini mkuu?BET WON... hongera mkuu
Both team score ... GG/yesY inamaanisha Nini mkuu?
Mkuu apo kwa celtic fanya kuya binya haswaaa goal lisipatikane kipindi cha piliVillareal 1x
Dundalk under 3.5
Celtic under 3.5
Ludogorets over 1.5
Odds 2.68
Ndio kamari hio mkuu,lolote linaeza tokea.Mkuu apo kwa celtic fanya kuya binya haswaaa goal lisipatikane kipindi cha pili
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]