blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Shukuru Mungu hiyo option ya 1hlf umeikosaKampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.
Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.
Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.
Huyu mpuuzi bwana kuna mkeka nimecash out faster kumhofia yy dah kuja kucheki vzr kumbe sikumweka bwana niliyemweka ni Etohel sahel. Nimejipunja mkwanja hlf alibaki yanga tuEsperance[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
kanjibai atatuua kwa pressureHuyu mpuuzi bwana kuna mkeka nimecash out faster kumhofia yy dah kuja kucheki vzr kumbe sikumweka bwana niliyemweka ni Etohel sahel. Nimejipunja mkwanja hlf alibaki yanga tu
Mrusi ndio kampuni gani??Mrusi hana mpinzani
Flash save hiyo(2UP)Ni swala la muda tu
1. IxbetMrusi ndio kampuni gani??
Lakini zote hizi hazina live games nyingi kama sportybet. Mfano hiyo 888starz wamepigwa Pini kutumia makampuni ya siku...so hawezikani ku deposit hela1. Ixbet
2. Melbet
3. Betwinner
4. Megapari
5. 888starz
6. Betandyou
7. Helabet
8. Paripesa
9. Mrbet na yenyewe nadhani ni ya ukanda huo huo maana walinitumiaga meseji kuwa 22bet sasa ni mrbet.
Mimi nilifurahi dakika ya 15 alikuwa na odds 2 nikaishi naye bila kujiuliza mara 2. Matokeo yake zimetika kadi 5 1H hiyo.Bora kubet booking, niliweka bookings over 2.5 first nikafuta nikampa mazima (kilichotokea ndo hiki tena)
Mimi nilifurahi dakika ya 15 alikuwa na odds 2 nikaishi naye bila kujiuliza mara 2. Matokeo yake zimetika kadi 5 1H hiyo.View attachment 3110531Bora kubet booking, niliweka bookings over 2.5 first nikafuta nikampa mazima (kilichotokea ndo hiki tena)
Ujue hao wengine huwa wanazilundika live games kwa pamoja kwa mfano betika lakini mrusi huwa anapangilia kila ligi na game zake.Lakini zote hizi hazina live games nyingi kama sportybet. Mfano hiyo 888starz wamepigwa Pini kutumia makampuni ya siku...so hawezikani ku deposit hela
Jifunze kujikaza usipende kucash out sana mimi jana nilikaza mwisho arsenal akashindanimexash out 6k mkeka ambao ulitakiwa kutoa 109k kisa ajax goli 2 anakuja kuzitoa mwishoni kabisa
Natamani kucash out maana mechi ina pressure balaaNimempa Yanga but simuelewi na cash out button kanji kaiweka kwake
Nimecash out nimemuachia kanji 4kNimempa Yanga but simuelewi na cash out button kanji kaiweka kwake