blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Shukuru Mungu hiyo option ya 1hlf umeikosaKampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.
Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.
Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.