Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
PpPremierbet hao...daah kitambo sana miaka8 imepita tangu nipost hiyo makitu daaah....
Ngoja nifuatilieHawa Paripesa hawana app ya ios?
Kwenye website hizi kampuni za mrusi huwa zinakua nzito sana ku respond ukibofya hadi unashindwa kubet kwa kutulia
Kongwe umekuawa adimu sana siku hiziPremierbet hao...daah kitambo sana miaka8 imepita tangu nipost hiyo makitu daaah....
Jina anaitwa naniCongraulation it boom 6/6✅✅✅✅✅✅💯
Nikisemfwatenii huyu fb balaaaa usiwe na tamaa tu
💯
💯
Kaboooom
Hapo chini wameandika winners waliopata hizo game hapo, na blue hayo maandishi kila mtu kama ni laki Aya kama ni hamsini haya mechi zako zilipokomea, ila una uhuru kati ya 17 we ukaweka 13 au 14 ni wewe ata ukacheza tu zote 17Kwa mliowahi kula hela ya bonasi sportpesa nauliza hiyo hela hapo ya bonasi anapewa kila mshindi wa bonasi kama ilivyo au mnagawana kwa idadi yenu
Acha tuwaachie mafijana jukwaa......Kongwe umekuawa adimu sana siku hizi
AiseeeeeeNi shughuli sana kuangalia mpira kwenye timu unayoishabikia halafu unakua umebeti
Hapa naona kama Costal watarudisha vile ili mradi bet yangu ilost 😂
Na zina toa izi prediction mkuu?Ziko Nyingi Sana nimezipata nyingine za kupredict
- NerdyTips: NerdyTips
- AI Tipster: Football Stats and outcome suggestions
- Predicd: Predicd | AI-powered Football/Soccer Predictions & Tips - Today & Tomorrow
- Merit Predictions: Meritprediction
- StatSports: STATSports | APEX Athlete Series | GPS Performance Tracker
- Opta: Opta data from Stats Perform
- SciSports: Improving Football Performance - SciSports
Kqbisa kaka hapa naaubiri napoli, leeds wafanye yao nile mpungaDah kampuni ni sportybet bwana asikudanganye mtu
Flashsave imeniokoa kwa simba ya Camara mkeka unapumua licha ya draw