Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
hii tabia ya timu kubadili majina inatuathiri sana wakamaria kuchambua mechi. unachambua mechi unaona timu hazikuwahi kukutana. kumbe zimeshakutana mara kibao, ila timu moja imebadili jina. mwisho wake unafanya maamuzi yasiyo sahihi, wa kufungwa unampa ashinde