Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalau hata katika laki 9 angesema ana laki 6 ili angalau achomoe laki aende nayo mdogo mdogo kwa mikeka ya odds 6 au 8 kwa selected team, akipigwa 50,000 anaachana na kubet ili 50,000 iliyobaki akachome nyama apate nguvu ya kutafakari pa kuipata laki 4 ya kujazia
 
yame maniliom ya wachexaji mnasikia kapewa euro kadhaa hizi ndio siju zao za marejesho kwenye timu..imagine

juv
Chelsea
Bologna
na wengineo wameingiza ngapi leo tunapambana hata na 2+ mbwa washaambizana 0-0
 
Jana na leo hali ni ngumu
 
yame maniliom ya wachexaji mnasikia kapewa euro kadhaa hizi ndio siju zao za marejesho kwenye timu..imagine

juv
Chelsea
Bologna
na wengineo wameingiza ngapi leo tunapambana hata na 2+ mbwa washaambizana 0-0
Spurs anapelekewa moto huko, nilitegesha goal ranges 2 - 4, naona tayari nimepigwa za uso maana ngoma ni 3 kwa 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…