Alafu kacheza na kibonde kabisa yani hizi timu kuna namna sielewi nini kinatokeamalmo[emoji24][emoji24][emoji24]
Huyu kila nikiomba goli moja hatoi nikiacha anatoaAz kaona nitafaidi sana
Betpawa huwa hawana refund zaidi ya ku-cash outLakini si umeambulia refund mkuu?
Amia Gal Sport mkuu, ukikosa tim 1 wanaku refund kulingana na dau uloweka na mzigo ulosoma.Betpawa huwa hawana refund zaidi ya ku-cash out
Hivi kwanini timu zinazochana mikeka huwa zinafuatana hii imenikuta sana mimi unakuta mikeka umechanwa na timu 2 au 3 ukiangalia hizo timu unakuta zimefuatana
Umeandika Nini?Kama una odd za uhakika ....unakosaje mtaji sasa....
Moja kati ya mechi ngapi ..kuna kitu nataka kuwaambia ndiyo maana nimeuliza hili swali ...msije kuwa mnapishana na mizigo ya pesa ?Amia Gal Sport mkuu, ukikosa tim 1 wanaku refund kulingana na dau uloweka na mzigo ulosoma.
Hao Galsport ndo huwa nawatumia karibu kila siku kwa kuwa wana option nyingi pamoja na betpawa, hapo nilikuwa nimekujibu kwa niaba ya yule uliemuuliza kama amekuwa refundedAmia Gal Sport mkuu, ukikosa tim 1 wanaku refund kulingana na dau uloweka na mzigo ulosoma.
8 na kuendelea, lete madini mkuu.Moja kati ya mechi ngapi ..kuna kitu nataka kuwaambia ndiyo maana nimeuliza hili swali ...msije kuwa mnapishana na mizigo ya pesa ?
Maandishi ...... Unaombaje mtaji wakati una odd za uhakika....maana yake si unawin kila siku ....unakosaje mtaji.Umeandika Nini?
Da ...odds 4153 zimechana mechi 2 tu jana matreni yangu niliyo post yote ni timu 2 zimezingua kanji kapona kifo ila katoka maututiLeo ndiyo ile siku iliyo andikwa kwenye maandiko ya kumwangusha kanji bai
ODDS 4153 hizo sportybet ..huku MAFWELE HUKU ABDUL kanji lazima tumkute maiti au maututi kwenye misitu ya mwagepande
SPORTYBET ODDS 4153
B8B5E1E
Hapo kuna madini ya almas haswa ...kuna siku nilisikia kuwa mechi 5 au ni kampuni tofauti au wameongeza mechi kutoka 5 hadi 8 ? Ngoja baadae nitakuja na madini ya aina hiyo ya return ππ8 na kuendelea, lete madini mkuu.
Mechi 5 ni premierbet....Hapo kuna madini ya almas haswa ...kuna siku nilisikia kuwa mechi 5 au ni kampuni tofauti au wameongeza mechi kutoka 5 hadi 8 ? Ngoja baadae nitakuja na madini ya aina hiyo ya return ππ
NAIPA JINA .....π₯π₯π₯7 DECOY 1 ATTACK π₯π₯π₯
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya vita kama russia na ukrain najua mmeni soma.
Hizo pesa sijui kwa nini watu awatumii akili vizuri ππ sema mimi huko siwezi kuja ni sportybet tuMechi 5 ni premierbet....
Mostly natumia sportybet ama betwinner....Hizo pesa sijui kwa nini watu awatumii akili vizuri ππ sema mimi huko siwezi kuja ni sportybet tu