Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zambia ashafanya mambo ya ghana jana.. acha nisubiri tu ligi zirudi, hizi timu za taifa jau
Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki pia
 
Nimekumbuka mechi ya mwisho ya Celtic na rose county ilikua balaa
 
Tuwape pole wenzetu wa Brazil!

Brazil orders closure of 2,000 betting sites​


Brazilian authorities on Friday began closing down more than 2,000 betting sites, including those that sponsors popular football team Corinthians and other first division clubs, as part of a push to regulate online gambling.

Issued on: 11/10/2024 - 18:33

 


Hili ni Janga la Dunia

Betting companies lazima zihusike na upangaji matokeo

Ila hapa Kwetu NDIO walipa Kodi Wakubwa,tupo salama 🀣🀣🀣🀣

Ila mnaoweka akiba zenu kwenye account za betting companies kuna Siku mtasaga meno
Mie nawekea pesa ya kubetia tuu na nikila tu naihamisha fastaaaaa

Ila huko Brazil unaweza kukuta companies zipo 800 ,sasa hizo 200 hana kitu

Sie hapa Tanzania tu zipo zaidi ya 100 , nyingine kwenye foleni ya license

Kuna kampuni kibao hazina promotion ila zinafanyakazi
 
Swala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapema
 
So far so πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Duh Nigeria umesave

Cameroon πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ watoto wasikuzoee
South Africa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

So far kutaaam

Labda Saa Tatu na nne wazinguaji waaΓ±ze
 
Swala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapema
Ilifungwa Meridian Bank hapa Tanzania

Na watu hawakulipwa hata mia,licha ya kwamba Bank kuu NDIO mdhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…