Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zambia ashafanya mambo ya ghana jana.. acha nisubiri tu ligi zirudi, hizi timu za taifa jau
Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki pia
 
Sio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yote[emoji848] .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.
Nimekumbuka mechi ya mwisho ya Celtic na rose county ilikua balaa
 
Tuwape pole wenzetu wa Brazil!

Brazil orders closure of 2,000 betting sites​

Brazilian authorities on Friday began closing down more than 2,000 betting sites, including those that sponsors popular football team Corinthians and other first division clubs, as part of a push to regulate online gambling.

Issued on: 11/10/2024 - 18:33

Hili ni Janga la Dunia

Betting companies lazima zihusike na upangaji matokeo

Ila hapa Kwetu NDIO walipa Kodi Wakubwa,tupo salama 🤣🤣🤣🤣

Ila mnaoweka akiba zenu kwenye account za betting companies kuna Siku mtasaga meno
Mie nawekea pesa ya kubetia tuu na nikila tu naihamisha fastaaaaa

Ila huko Brazil unaweza kukuta companies zipo 800 ,sasa hizo 200 hana kitu

Sie hapa Tanzania tu zipo zaidi ya 100 , nyingine kwenye foleni ya license

Kuna kampuni kibao hazina promotion ila zinafanyakazi
 
Swala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapema
 
So far so 👏👏💪💪💪💪💪💪

Duh Nigeria umesave

Cameroon 👏👏👏👏 watoto wasikuzoee
South Africa 👏👏👏👏

So far kutaaam

Labda Saa Tatu na nne wazinguaji waañze
 
Swala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapema
Ilifungwa Meridian Bank hapa Tanzania

Na watu hawakulipwa hata mia,licha ya kwamba Bank kuu NDIO mdhamini
 
Screenshot_20241011-210504~2.png
 
Back
Top Bottom