Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sawa mkuuhilo salio linaweza kukupa milion 100 au sh 100,.....
imategemeana na bahati tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuhilo salio linaweza kukupa milion 100 au sh 100,.....
imategemeana na bahati tu
Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki piaZambia ashafanya mambo ya ghana jana.. acha nisubiri tu ligi zirudi, hizi timu za taifa jau
Wakenya wamepata goli ila Egypt mpuuzi...mikeka ya matrsni ya hakika nimepost miwili siyo huuHapo kwa Kenya umeliwa. Niamini mimi
Nimekumbuka mechi ya mwisho ya Celtic na rose county ilikua balaaSio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yote[emoji848] .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.
Mastaa wake wote wapo uwanjani ila anachokicheza hakijulikaniNigeria.... blood fool
Basi yafaa wacharazwe bakora na kupakwa pilipili. Au wameingia ubia na KANJI?Mastaa wake wote wapo uwanjani ila anachokicheza hakijulikani
Tuwape pole wenzetu wa Brazil!
Brazil orders closure of 2,000 betting sites
Brazilian authorities on Friday began closing down more than 2,000 betting sites, including those that sponsors popular football team Corinthians and other first division clubs, as part of a push to regulate online gambling.
Issued on: 11/10/2024 - 18:33
Swala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapemaHili ni Janga la Dunia
Betting companies lazima zihusike na upangaji matokeo
Ila hapa Kwetu NDIO walipa Kodi Wakubwa,tupo salama 🤣🤣🤣🤣
Ila mnaoweka akiba zenu kwenye account za betting companies kuna Siku mtasaga meno
Mie nawekea pesa ya kubetia tuu na nikila tu naihamisha fastaaaaa
Ila huko Brazil unaweza kukuta companies zipo 800 ,sasa hizo 200 hana kitu
Sie hapa Tanzania tu zipo zaidi ya 100 , nyingine kwenye foleni ya license
Kuna kampuni kibao hazina promotion ila zinafanyakazi
Ilifungwa Meridian Bank hapa TanzaniaSwala la kufungia kampuni sio la kuamka na kutangaza tu kuwa tumezifungia... Hela za wateja lazima zizingafiwe ikiwa ni pamoja na kutoa onyo la mapema
Soma tena! Safisha macho vizuri!sasa hizo 200 hana kitu
👏👏👏
Ilitangaaza kufilisika au BOT wali release tu tangazo kuwa tumefunga bank fulani?Ilifungwa Meridian Bank hapa Tanzania
Na watu hawakulipwa hata mia,licha ya kwamba Bank kuu NDIO mdhamini