Kutumia bando, sim/pc yake isiwe sababu ya kuingiza watu chaka. Hiyo kampuni anayoipigia chapuo ni.matapeli, kila mkamaria anajua.Acha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali
1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.
Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.
Kobe ni Kobe kweliBBCD01 Sportybet, wazee wa matreni tujalibu hilo treni, mechi za leo, ya kwanza inaanza saa 10
HahahahKobe ni Kobe kweli
Ukiweka 10000 je.Mkuu siyo Promo, wewe Ukijisajili Utapewa Bonus Ya Mwisho Laki Tatu. Ukiweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine. Ukiweka 150000 utaongezewa 150000 nyingine
Utapewa mara mbili ya kiasi cha pesa utakachowekaUkiweka 10000 je.
Ujue nn mkuu hio ni bizness najua lkn ulitakiwa uandike kuwa ukiweka 100000 unapewa 100k nyingine,
Ukisema first deposit unapata 300k,mimi nikiweka 2000 ntapata hio 300k,
Ulipaswa useme ukiweka dau kadhaa utapata bonud HADI YA kias kadhaa ,nasio kusema ukiweka mara ya kwanza unapata 300k , ukiacha neno HADI unakua umeharibu uahlisia.
Simple ,sema ukiweka deposit ya kwanza unaweza pata bonus HADI 300K (0 -300K )
Tena Kobe mzee pumbavu zake mapema yote hii kashatia gunduKobe ni Kobe kweli
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimejisajili Paripesa usajili umekamilika nime deposit hela na Naangalia kwenye account hakuna kitu wakati m pesa wamenirudishia sms inayo thibitisha hela imetumwa hawa ni matapeli.
View attachment 3128458
LET'S MAKE IT BACK TO BACK, CHINA BASKETBALL 🏀
Booking Code: 95NM5
Haupo PARIPESA? Jisajili 👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Asilimia 300%.
View attachment 3128129
WAKE UP TO BOOM 🏀
Booking Code: 1K625
Jisajili PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 300,000 Ambayo Utaitumia Kwa Kubetia Leo Hii.
Mkuu ni Back To Back. Tuendelee kumfukuza Kanji.Boooommmm✅✅✅💯💯
Mkuu ni Back To Back. Tuendelee kumfukuza Kanji.
Jitu linafukuzia ubingwa kwa tofauti ya pointing 1, alafu linafungwa. Hata ov 0.5 halijatoaHahahah
HahahaHongera mkuu mapambano lazima yaendelee mpaka muhindi afilisike
Jinga sanaJitu linafukuzia ubingwa kwa tofauti ya pointing 1, alafu linafungwa. Hata ov 0.5 halijatoa
Nani Tena huyoJitu linafukuzia ubingwa kwa tofauti ya pointing 1, alafu linafungwa. Hata ov 0.5 halijatoa
2-1Shangai shenhua anashindwaje kushinda kwenye game muhimu kama hii