Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kutumia bando, sim/pc yake isiwe sababu ya kuingiza watu chaka. Hiyo kampuni anayoipigia chapuo ni.matapeli, kila mkamaria anajua.Acha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali
1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.
Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.