Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani naombeni msaada nini maana ya 3+ na 2+ streak... Pale sportybet
Ukiona over 1.5 hapo tunataka goli mbili au zaidi Ili mkeka utiki....

Na over 2.5 hapo zinatakiwa goli tatu au zaidi Ili mkeka utiki...

Sasa ukiona over 2, maana yake magoli yawe zaidi ya mawili ndo mkeka utakua umetiki lakini kama magoli yataishia mawili basi hiyo bet wataicancel itasoma point 1.. kwa lugha rahisi utarudishiwa hela yako (refunded)...

Ukisema over 2+ hapo ni sawa na over 1.5 magoli yaanzie mawili kwenda juu...
 
Sio hvo mkuu Wacha nikueleze ujue na ww , 2+ streak inamanisha goli 2 mfululizo na 3+ streak goli 3 mfululizo
 
Jamani naombeni msaada nini maana ya 3+ na 2+ streak... Pale sportybet
3+ streak inamanisha goli tatu mfululizo, mfano ukieka man city 3+ streak ( sawa na 3 goals in a row) kama umeeka yes inatakiwa man city afunge goli 3 MFULULIZO Yani bila mpinzani kuharibu utaratibu
 
kwa lugha rahisi ni goal in a row.
Timu unayochagua ifunge goli ulizochagua bila kuingiliwa na goli la mpinzani.
 
Leo hii market (over 1.5) ni ya moto,, hapo England wananyukana mpaka so poa 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…